kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hata kitendo cha kununua gari ya kutembelea na huku umepanga, tena kachumba na sebule ni "USHAMBA ".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yote uliosema yapo kwenye kapu mojaTatizo lenu mnaangalia jambo moja tu, yaani item moja tu simu!
Je wanaohonga pakubwa na kula padogo mbona hamuwasemi?
Mtu anajengea hawara, wakati bado akiishi pangoni!
Wanaume wapumbaf ni wengi kuliko tunavyodhania.
Hao wa simu ghali na huku wakiishi maisha ya hovyo wana nafuu kwa sababu angalao wanamiliki hata hicho kitu.
Kuliko wanaotumikia kichwa cha chini 99% ya mapato yao hadi wanazeeka na kukosa uelekeo.
Kama jobless simu ya 5m kaitoa wapi? Wazazi waweza kuwa na pesa wakampa hawataki mtoto wao apate shida hata kama joblessHayo yote uliosema yapo kwenye kapu moja
Kwa sasa tumetoa item moja kwenye kapu so jikite kwa mada husika mkuu
Je msomi ambaye ni jobless ni sawa kumiliki simu ya 5m?!
Kumiliki Simu ya 5m kuna tatizo ama kosa gani?Hayo yote uliosema yapo kwenye kapu moja
Kwa sasa tumetoa item moja kwenye kapu so jikite kwa mada husika mkuu
Je msomi ambaye ni jobless ni sawa kumiliki simu ya 5m?!
Msomi ni nani (criteria gani unatumia kwenye hii classification) na asiye msomi ni nani?"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Amini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga."Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Na unatukwaza sana ss tusiopenda kusikia habari za uchi 😃😃😃Kama mimi nikisema nahamu ya kubomolewa uchi watu wananuna.
AiseeeAmini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga.
Unaweza sasa hapo kubashiri akili za hao wanaozimiliki.
Hapo Dottomagari ingawa mi silipendagi ila hapo kagonga ikulu,ni ukweli mtupu
Ili niwe Mpumbavu kama Wewe?Punguza ujuaji
Angekunyandua?Mleta mada anajifanya mjanja sana na upstair ni mweupe kabisa
Sawa Mdogo wangu wa Damu.Amini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga.
Unaweza sasa hapo kubashiri akili za hao wanaozimiliki.
Hapo Dottomagari ingawa mi silipendagi ila hapo kagonga ikulu,ni ukweli mtupu
Anza na yeye huyo role model wako, anamiliki simu ghali lakini hana nyumba.Amini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga.
Unaweza sasa hapo kubashiri akili za hao wanaozimiliki.
Hapo Dottomagari ingawa mi silipendagi ila hapo kagonga ikulu,ni ukweli mtupu
Mirembe wana kazi kubwa sanaAngekunyandua?
Luteni naskia ulipewa nafasi ya kutandikana watakao andamana.Tatizo hapa bongo ukiwa mkweli lazima watu wakuchukie
Ah tatizo hakuna aliyeandamana, wote walikuwa wanafanya joggingLuteni naskia ulipewa nafasi ya kutandikana watakao andamana.
Hongera kwa teuzi.😁
Hiyo kitu nimeiona usukumani, yaani unakuta mtu anakunywa bia za shilingi elfu hamsini muda huo kiatu alichovaa kimetobokaMtu anakunywa bia za laki mbili nyumbani ana shuka mbili moja kujifunika moja kutandika