MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Kwanini umetaja shule 2 tu za kishua wanakulipa???Kwakuwa walikudai sana Ada ya Mwanao na ukashindwa Kumlipia akafukuzwa na sasa yupo Ngumbaru Schools au?
Wacha uongo,,,wacheni kununuwa mitihani..Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za Ngono katika Simu zao na wengine hata Kunisalimia wameshindwa na walichoniuliza ni kama Mkeka wa Kubeti wa kwa Muhindi wa leo unasomeka wakacheze zao.
Hizi Shule za 'Kishua' nimegundua kuwa zinafundisha sana na kwa bidii zote na wala haziibi Mitihani ili ziwafaulishe Wanafunzi ( Watoto ) wao kama ambavyo tunasema kila Uchao.
Elimu ya mfumo wa kuchuja wanafunzi kwa alama ndiyo unausifia ??! Popote duniani hakuna shule inayoweza kuandikisha wanafunzi wenye IQ kubwa tuu!! Unazoziita za ngumbaru hebu na zenyewe ziambiwe zichuje ili zibaki na cream muone moto wake !!Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za Ngono katika Simu zao na wengine hata Kunisalimia wameshindwa na walichoniuliza ni kama Mkeka wa Kubeti wa kwa Muhindi wa leo unasomeka wakacheze zao.
Hizi Shule za 'Kishua' nimegundua kuwa zinafundisha sana na kwa bidii zote na wala haziibi Mitihani ili ziwafaulishe Wanafunzi ( Watoto ) wao kama ambavyo tunasema kila Uchao.
Eh sasa kama Mshahara wa mwalimu ni karibia 2M kwanini wasifundishe kwa bidii?
Wanatumia Mtala gani? Kama ni huu huu wa Kibongo hakuna kitu zaidi ya kuongea Amerixan English.Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za Ngono katika Simu zao na wengine hata Kunisalimia wameshindwa na walichoniuliza ni kama Mkeka wa Kubeti wa kwa Muhindi wa leo unasomeka wakacheze zao.
Hizi Shule za 'Kishua' nimegundua kuwa zinafundisha sana na kwa bidii zote na wala haziibi Mitihani ili ziwafaulishe Wanafunzi ( Watoto ) wao kama ambavyo tunasema kila Uchao.
Nashangaaa sana, watu wanapumbwazwa na mtoto kuongea Kingereza, ila still hao watoto wanafuata mtala huu huu wa hovyo kabisa na ulio pitwa na wakatiElimu ya mfumo wa kuchuja wanafunzi kwa alama ndiyo unausifia ??! Popote duniani hakuna shule inayoweza kuandikisha wanafunzi wenye IQ kubwa tuu!! Unazoziita za ngumbaru hebu na zenyewe ziambiwe zichuje ili zibaki na cream muone moto wake !!
Ufuatiliaji upi? Niambie hizo shule zinatumia huu huu mtala wa Serikali? Au wana mitala yao? Kama ni huu huu basi hakuna kitusi kwa sababu mshahara ni mkubwa no,sababu kuna ufatiliaji mkubwa sana.
na ukizembea unaondoka.
Kufualu sio kujifunza, Hizo unazo zisifia taja mtoto anacho toka nacho pale ziadi ya kujua kuongea Kingereza fasaha. Na kufaulu maana yake mtoto ana uwezo mkubwa sana wa kukariri yali anayo fundishwa, sasa zama za kukariri aiseee Dunia hii hazina nafasiKweli kabisa hizi shule zetu za kata huku mitaani asilimia kubwa hakuna maadili na Mazingira mazuri ya kufaulu vyema ,mimi nimeshudia mengi tu zaidi ya hayo .
Sema wawa karirishe kwa bidii, mfumo wetu wa elimu tukubali ni anaye kumbuka yale alio fundishwa ndo huyo anaye faulu.Eh sasa kama Mshahara wa mwalimu ni karibia 2M kwanini wasifundishe kwa bidii?
Kabisa kwa asilimia zote ,bongo bando tunamfumo mbaya sana wa elimu sijui lini tutabadilika.Kufualu sio kujifunza, Hizo unazo zisifia taja mtoto anacho toka nacho pale ziadi ya kujua kuongea Kingereza fasaha. Na kufaulu maana yake mtoto ana uwezo mkubwa sana wa kukariri yali anayo fundishwa, sasa zama za kukariri aiseee Dunia hii hazina nafasi
Mbona Elon mask ameupinga mfumo wa elimu wa marekani na kaanzisha shule yake isiofuata mtaala wa circular.Sasa kwa nini mnasifia mifumo ya nje wakati huko kwao nao inapingwa ?Kabisa kwa asilimia zote ,bongo bando tunamfumo mbaya sana wa elimu sijui lini tutabadilika.
Yani leo saa 12 jioni peke yake umepita shule za Feza, St. Marys na shule za serikali?
Aisee, hivi unajua kwamba sisi ni watu wazima?