Acheni uchoyo jamani!!!!!

Acheni uchoyo jamani!!!!!

Ndo hapo sasa mm Leo nimeshiba magimbi
Hawajui wewe ni shem wangu
IMG_20190808_075005.jpeg
 
Hahaha lile jina unalotuita humu usifikiri tunalipenda,,,limechangia sana wewe kukosa mialiko yetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaweza kukaa mezani ukajikuta ushalitamka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mdogo wangu ndio unaliogopa hivyo? Mbona halina madhara kama huusiki?
 
Back
Top Bottom