Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Mwanaume ukinunua Vitz au Nadia, ww andika pale nyuma kwa maandishi makuuubwa 'BABA YAKO ANAYO'???? Uone km kuna mtu atakwambia gari yako ni ya kike...
 

Kwenda zako..dume zima unaendesha Passo au vitz halafu ma bmw na ma discovery 3 aendeshe nani?
 
inashangaza sana, watu wakikosa wanamaneno sana hasa kipindi cha mvua...
ila uchaguzi wa rangi uzingatiwe au sio Mshana Jr....???
 
Last edited by a moderator:

mapovu yanakutokaaa....una vits???just relax man! maana hata unachokemea hakieleweki
 

Sijaona bits,passo,funcargo,Nadia,mark x maana ndio zinazunguka hapa tz hayo ma Buick,hammer ya kuhesabu!
 
Sijaona bits,passo,funcargo,Nadia,mark x maana ndio zinazunguka hapa tz hayo ma Buick,hammer ya kuhesabu!

wewe hujui kama amecopy na kupest mpaka umuaibishe ?
 

Hahaha young guys with good careers
 
Kwa tanzania hizo ni gari za kike, utake usitake, usijipe moyo kilinganisha na nchi za ulaya na marekano, huko ni huko na huku ni huku, hata hivyo nina mpango wa kuanza maisha upande wa usafiri na gari la "kike"! Mi dume.
 
Siyo hivo mkuu we chukulia mfano unakutana na kigari kama ki-nissan duet ama ki-vitz alafu ndani yake anatoka mtu kama JB ama Le Mutuz yani haiji kabisa yani...
 
Matatizo ni ulimbukeni au msemo mwingine maskini akipata >>>> hulia mbwata. Nenda nchi zilizndea utakuta kila mmoja na shughuli zake wanawake na wanaume wana kwenda kazini au popote kwa baiskeli, vespa basi , gari za aina zote na hakuna anaezunguzia
 

Mkuu mbona kama umepanic wakati watu tupo kwenye masihara...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…