Uchaguzi 2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

So what?
 
Mpaka sasa wanasukumiana"aende lisu"lisu anachomoa hapana "aende nyarandu"
 
Ccm itashinda mapema sana ushindi wa kishindo
 
Ubaya ni kuwa wanasubiri majeruhi toka CCM
 
Hapa kudu linahusika na mirembe iko hapohapo dom
 
Kwa juhudu alizozionesha mheshimiwa rais John Pombe Magufuli katika taifa letu, ni dhahili kuwa upinzani hawana nafasi tena ya kupambana na kupindua meza ifikapo mwezi octoba mwaka huu.

Juhudi za kuinua uchumi wa Tanzania na kuifanya nchi yetu kuwa kati ya nchi chache barani Africa zenye uchumi unaokuwa kwa kasi kwa muda mfupi wa miaka mitano

Uboreshaji wa miundo mbinu pamoja na upatikanaji kirahisi huduma zote za afya, hii ni kutokana na miradi mbalimbali inayoendelea kujengwa. Na vituo vya afya katika kila kata hapa nchini.

Nafasi ya Kushinda uchaguzi mkuu ktk kiti cha uraisi kwa "CCM" chama tawala mwezi octoba ni kubwa ukilinganisha na vyama vya upinzani.

Nangojea sera za kila chama ktk uchaguzi huu, japokuwa nina imani chama tawala kitakuwa na wigo mpana ktk uandaaji wa sera zake kuliko upinzani. Hii n kutokana na muendelezo na uhalisia wa kila linalofanywa na serikali hii ya CCM kwa wakati huu wa miaka mitano.
 
Wewe ni Mwanahabari nikusaidie kidogo nenda pale Morogoro mtaa wa msamvu , kaongee na kada ambaye anaitwa Baraka Maswale utajua CCM wanatumia nini katika uchaguzi.

Kauli yako itakuwa kweli kama kutakuwa na Tume huru.
 
Kuwepo na tume huru ya uchaguzi na kusiwepo uingiliaji wa mapolisi. ma-DED, usalama au ma-ccm ktk vyumba vya uchaguzi.
Ikiwa hivyo uchaguzi ukianza saa 12 asubuhi ikifika saa 6 mchana ccm itakuwa imeandaliwa njia nyeupe ya kwenda kuzimu.
ccm weneyewe wanajua hili ndio maana hawataki tume huru kabisa.
 
Maneno ya mkosaji hayo. Kwa sasa ccm haina mpinzan labda mtafute nch nyingine.
 
ccm iliyonyongelea mbali nyongeza ya mishahara ya watumishi wa umma miaka 5.
 
Uko mbali sanakiakili
 
Hawana wagombea kabisa ni kuokoteza au kufanya mkopo kama 2015
Ni kweli, siku ya kupiga kura JPM ikifika saa tatu asubuhi atakuwa ameshashinda kura za urais sababu atakuwa tayari amepata kura milioni ishirini na tano.
 
Wewe ukitaka kujua mgombea wa ccm alivyo mwoga wapambanishwe Lissu na jiwe kwenye mdahalo uone kama jiwe atathubutu.
 
Iyumbe mara ngapi?
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho , mgombea wa CCM yeyote atakayesimama bila Backup ya Policcm ,TEETH na NEC anaenda na MMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…