Uchaguzi 2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

Ukitaka kupata sample mwambie Magufuli siku Lissu anatua airport aruhusu live broadcasting TBC

Na asitume police kwenda kuzuia wapokeaji mtapata somo kidogo.

Propaganda hazitawasaidia! mgombea hakuna wakati kilasiku figisu!
Mkuu labda wewe na familia yako Ndo mtaenda kumpokea huyo TL. Ila Sisi watz hatuwezi mpokea msaliti mkubwa huyo..

Ok let's back on the topic,, inasemekana huyo msaliti wako nae kachukua fomu ya kugombea urais. Maswali machache tu;
1. Je hiyo fomu ya kuonyesha Nia aliichukulia ofisi ipo huko ulaya?
2.Sahihi na udhibitisho wa kuonesha Nia aliufanyia ofisi gan huko ulaya au Napo Kuna ufipa ndogo?

"CDM Ni kikundi Cha Wahuni" Confirmed
 
kwani vp, mnataka kuwateka??
kama amefanya mambo mazuri waswas wa nn ikiwa wananchi watamchagua??
binafsi sitampa kura yangu...ni uamuzi wangu!.
 
Usiongelee mate utabaki wwe na familia yako tu, jiwe litasambaratishwa vibaya na nyundo
 
Kama kuna tume huru, wapinzani wakiweka hata papai lenye korona, nakuhakikishia 60% wanampa kura papai.
 
Wewe ukitaka kujua mgombea wa ccm alivyo mwoga wapambanishwe Lissu na jiwe kwenye mdahalo uone kama jiwe atathubutu.
Hawezi jibu hoja yeyeto bila msaada wa polisi,hata akisimamishwa na Abdul Nondo au Yeriko atamtoa knock out
 
Wewe ukitaka kujua mgombea wa ccm alivyo mwoga wapambanishwe Lissu na jiwe kwenye mdahalo uone kama jiwe atathubutu.
Jiwe anaogopa kuhojiwa na BBC. Yani alishawapiga marufuku wasisogee karibu yake. Yani ni kana padre au mchungaji...anataka aongee yeye tu kila kitu ni ndyo mzee ni questioning.
 
Sera za nini?
 
Ukitaka kupata sample mwambie Magufuli siku Lissu anatua airport aruhusu live broadcasting TBC

Na asitume police kwenda kuzuia wapokeaji mtapata somo kidogo.

Propaganda hazitawasaidia! mgombea hakuna wakati kilasiku figisu!
Akili zako bado hazija kaa vizuri tu? Kwani wale wavuta bangi waliojazana kwenye mikutano ya Lowassa wakati amekuja kutalii Cdm wakienda kumpokea Lissu nao mnawahesabu kama assets!
 
Hamtoacha kuweweseka nenda kaangalie sekta zifuatazo mafanikio na changamoto zake.
1.Afya
2.Elimu
3.Biashara
Kisha ulete mrejesho
 
Hivi ni kwanini mleta mada kila ukisikia jina la LISSU unalowana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…