Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,728
- 6,806
Mkuu labda wewe na familia yako Ndo mtaenda kumpokea huyo TL. Ila Sisi watz hatuwezi mpokea msaliti mkubwa huyo..Ukitaka kupata sample mwambie Magufuli siku Lissu anatua airport aruhusu live broadcasting TBC
Na asitume police kwenda kuzuia wapokeaji mtapata somo kidogo.
Propaganda hazitawasaidia! mgombea hakuna wakati kilasiku figisu!
Ok let's back on the topic,, inasemekana huyo msaliti wako nae kachukua fomu ya kugombea urais. Maswali machache tu;
1. Je hiyo fomu ya kuonyesha Nia aliichukulia ofisi ipo huko ulaya?
2.Sahihi na udhibitisho wa kuonesha Nia aliufanyia ofisi gan huko ulaya au Napo Kuna ufipa ndogo?
"CDM Ni kikundi Cha Wahuni" Confirmed