We nae ni punguani,wakati Serikali inanunua ndio bei ilikuwa kubwa.Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu. LAKINI miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania WAVIVU wakaiyumbisha Serikali mpaka ikaamua kudhibiti biashara ya mahindi. Angalia kinachoendelea leo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MwananchiView attachment 2783448
Wewe ulitaka asinunue?Bashe mwenyewe amegeuka mnunuzi wa mahindi
Wapi mpaka umefungwa? Kwani hata Sasa soko haliamui bei? Saizi hakuna wanunuzi maana hata majirani Wana mahindi na wamezuia mahindi kuingia.Option ni waache soko liamue, na mipaka isifungwe, anaetaka kuuza china auze, anaetaka kuuza kenya auze tu
Aachie uwaziri ili anunue vizuriWewe ulitaka asinunue?
Kama Bashe ananunua mahindi na kuuza basi ni jambo jema. Anaongoza kwa vitendoBashe mwenyewe amegeuka mnunuzi wa mahindi
Hili ndiyo kosa kubwa sana serikali ya Samia imetufanyia sisi wakulima. Bashe tulikuwa tunamwelewa sana. Wakulima tulikuwa na vicheko, tuliobahatika tuliuza kidogo mahindi huko huko shambani wakenya walitufuata tukawapa Kwa bei mzuri.Bashe mwenyewe amegeuka mnunuzi wa mahindi
Kwamba wewe ni MKULIMA uliyetunza gunia 3000 ndani?Hili ndiyo kosa kubwa sana serikali ya Samia imetufanyia sisi wakulima. Bashe tulikuwa tunamwelewa sana. Wakulima tulikuwa na vicheko, tuliobahatika tuliuza kidogo mahindi huko huko shambani wakenya walitufuata tukawapa Kwa bei mzuri.
Lakini Serikali imeingilia biashara ya mahindi eti wanatataka kununua wao Kisha wake ya waende kununua kwao, sijui wawe na TIN namba, wasiende Moja Kwa Moja mashambani! Huko ni kumkomoa mshirika. Mahindi yametudodea ndani hatuna mahali pa kuuza. Kuna Ndugu yangu ana gunia 3000 Hana mahali pa kuuza. Mimi Nina gunia 100 Sina mahali pa kuuza. Mahindi yamo ndani yanaliwa na panya huku wakenya wanakufa na njaa.
Kibaya zaidi nasikia Urusi wanataka kuweka ghala ya kuuza nafaka Kenya, maana yake tutakuwa tumepoteza soko la Kenya mazima.
Kazi ya kilimo kwa Tanzania ni kazi ya hovyo hovyo. Tuwashauri vijana wasidanganyike watakuwa masikini.
Wivu tu na utakuwa mchawi mwaka huuAachie uwaziri ili anunue vizuri
ChoiceVariable njoo usome hapa maana wewe umetoa taarifa ya uwongoHili ndiyo kosa kubwa sana serikali ya Samia imetufanyia sisi wakulima. Bashe tulikuwa tunamwelewa sana. Wakulima tulikuwa na vicheko, tuliobahatika tuliuza kidogo mahindi huko huko shambani wakenya walitufuata tukawapa Kwa bei mzuri.
Lakini Serikali imeingilia biashara ya mahindi eti wanatataka kununua wao Kisha wake ya waende kununua kwao, sijui wawe na TIN namba, wasiende Moja Kwa Moja mashambani! Huko ni kumkomoa mshirika. Mahindi yametudodea ndani hatuna mahali pa kuuza. Kuna Ndugu yangu ana gunia 3000 Hana mahali pa kuuza. Mimi Nina gunia 100 Sina mahali pa kuuza. Mahindi yamo ndani yanaliwa na panya huku wakenya wanakufa na njaa.
Kibaya zaidi nasikia Urusi wanataka kuweka ghala ya kuuza nafaka Kenya, maana yake tutakuwa tumepoteza soko la Kenya mazima.
Kazi ya kilimo kwa Tanzania ni kazi ya hovyo hovyo. Tuwashauri vijana wasidanganyike watakuwa masikini.
Serikali itanunua mahindi yote,huyo Jamaa kaandika upuuzi tuu usio na msingi na hafuatilii Hali ya mambo. Serikali kununua mahindi inahusikaje na soko kudoda?ChoiceVariable njoo usome hapa maana wewe umetoa taarifa ya uwongo
Mkuu tatitizo la sasa halijasababishwa na bashe wala samia bali kenya ndo imepiga marufuku uingizaji wa mahindi kutoka nje ili kulinda wakulima wake kwa sababu wamehivisha mahindi mengi , na soko kubwa la mahindi ya tz liko kenya.Hili ndiyo kosa kubwa sana serikali ya Samia imetufanyia sisi wakulima. Bashe tulikuwa tunamwelewa sana. Wakulima tulikuwa na vicheko, tuliobahatika tuliuza kidogo mahindi huko huko shambani wakenya walitufuata tukawapa Kwa bei mzuri.
Lakini Serikali imeingilia biashara ya mahindi eti wanatataka kununua wao Kisha wake ya waende kununua kwao, sijui wawe na TIN namba, wasiende Moja Kwa Moja mashambani! Huko ni kumkomoa mshirika. Mahindi yametudodea ndani hatuna mahali pa kuuza. Kuna Ndugu yangu ana gunia 3000 Hana mahali pa kuuza. Mimi Nina gunia 100 Sina mahali pa kuuza. Mahindi yamo ndani yanaliwa na panya huku wakenya wanakufa na njaa.
Kibaya zaidi nasikia Urusi wanataka kuweka ghala ya kuuza nafaka Kenya, maana yake tutakuwa tumepoteza soko la Kenya mazima.
Kazi ya kilimo kwa Tanzania ni kazi ya hovyo hovyo. Tuwashauri vijana wasidanganyike watakuwa masikini.
Mipaka haijafungwa mkuu bali kenya ndo imezuia uingizwaji wa mahindi kutoka nje ili kulinda wakulima wake wa mahindi.Option ni waache soko liamue, na mipaka isifungwe, anaetaka kuuza China auze, anaetaka kuuza Kenya auze tu
Mnataka kusiwe na udhibiti ili fisadi na walanguzi wadhibiti kila kitu. Sasa hamkuona mahindi yote yakiishia kenya na wao kuyauza nje na kupata hela za kigeni wao badala yetu? Wakenya wakaja bila udhibiti na kwenda hdii vijijini kununua kwa shilingi ya kitanzania kwa kubadilishiwa hela zao na walanguzi. Hatukulia njaa kama watanzania? Sera za bashe ni kukuza ufisadi tu aende nazo somalia huko ndio ubabe na nguvu zinatawala.Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini.
Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka ikaamua kudhibiti biashara ya mahindi.
Angalia kinachoendelea leo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la Mwananchi.
View attachment 2783448
Unayosema ni kweli , baada ya serikali kuingilia kati wakenya walifunga mpaka kuingiza mahindi .Hili ndiyo kosa kubwa sana serikali ya Samia imetufanyia sisi wakulima. Bashe tulikuwa tunamwelewa sana. Wakulima tulikuwa na vicheko, tuliobahatika tuliuza kidogo mahindi huko huko shambani wakenya walitufuata tukawapa Kwa bei mzuri.