Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu hayo maswali ungeenda ukawauliza wakenya na sio mm.Haya sasa, swali la kujiuliza hapa kuhusu huyo Kenya kuzuia mahindi au bidhaa nyingine kuingizwa kwake ili kulinda wakulima wake; hiyo Jumuia ya Afrika Mashariki ipo ya nini sasa?
Huyo huyo Kenya, bidhaa zake zikizuiwa kwa sababu mbalimbali, ndiye wa kwanza kupiga kelele nyingi sana, lakini yeye anapozuia bidhaa za Uganda, kama mayai na maziwa, hauni kuwa anakiuka makubaliano ya ushirikiano wetu?
Sasa hii Jumuia ipo ya maana gani, kama siyo ya ushindani huru ndani ya soko zima. Anayezalisha kwa wingi na kwa gharama ndogo auze popote katika soko lililopo kwa ushindani.
Lakini sisi tunaona sawa tu, tunabaki tukilialia kama watoto wadogo.
Hapana.Sasa mkuu hayo maswali ungeenda ukawauliza wakenya na sio mm.
Ungenielewa usingeandika haya uliyoandika hapa.Nimekuelewa sana. Bila shaka wewe ni mtu wa kitengo hivyo malalamiko ya sisi wakulima huyajui.
Na wewe Usiwalalamikie wakenya Kwa kukiuka mtangamano wa Afrika mashariki vinginevyo na wewe ni mmoja Watanzania walewale wanaopenda kulalamika bila kutoa suluhisho.
Hapana mkuu Kenya ilichukua maamzi ya kuagiza mahindi nje huko Baada ya serikari yetu kusisitizwa na wapumbavu/ wavivu wachache kwamba haya mahindi kuendelea kupita kwenda Kenya kunaweza kusababisha upungufu mkubwa wa mahindi inchiniMkuu tatizo la mahindi halijashabishwa na yeyote na wala serikali haijafunga mipaka, bali mteja mkuu wa mahindi ya tz ambaye ni kenya imezuia uingizwaji wa mahindi kutoka nje ili kulinda wakulima wake kwa sababu mwaka huu kenya imevuna mahindi mengi.
Niongezee kwa kusema mkenya hanunui mahindi kwa ajiri ya chakura Cha ndani tu Bari pia nimsambazaji wa unga wa mahindi kwenye inchi za somaria, north & south sudani nkMkuu tatizo la mahindi halijashabishwa na yeyote na wala serikali haijafunga mipaka, bali mteja mkuu wa mahindi ya tz ambaye ni kenya imezuia uingizwaji wa mahindi kutoka nje ili kulinda wakulima wake kwa sababu mwaka huu kenya imevuna mahindi mengi.
Watu wasiojuwa tofauti ya "r" na "l" wanachosa sana kusoma. Unaishia huelewi kitu. Eti rusaka, barozi, firisika, vibari, hafadhari, serikari, kwa ajiri, somaria.Niongezee kwa kusema mkenya hanunui mahindi kwa ajiri ya chakura Cha ndani tu Bari pia nimsambazaji wa unga wa mahindi kwenye inchi za somaria, north & south sudani nk
Kwakifupi kuzuia mahindi yasie de Kenya ni makosa makubwa kwani hakuna solo la ndani linalo kimbizana na soko la mahindi la Kenya
Nikupe mfano mdogo tu kwamba kipindi serikari yetu inatangaza kununua mahindi kwa 800 mpaka 900 kwa kg.
Mkenya alikuwa ananunua kwa 1200 per kg lakini Baada ya mazingira ya mahindi kuvuka kuenda Kenya kuanza kuwa magumu mkenya akaondoka sokoni nakuwnda kuagiza mahindi Mexico
Serikari yetu ika nunua kwa 800 per kg mzambia ple rusaka akanunua kwa 1300 per kg kwahiyo Yale mahindi tuliyo nunua Zambia tukitegemea kuwauzia wakenya tukaanza Tena kuyarudisha rusaka zambia"
Kwani ilikuwa hafadhari kuliko kuiuzia serikari yetu. Sasa hebu fikiria umeusafirisha mzigo kutoka luwingu Zambia/mansa au rusaka unafika tz unakuta biashara hakuna kwani serikari imezuia mahindi yasie de Kenya
Unaanza upya kukata vibari mzigo uende Tena Zambia rusaka"
vipi kuhusu nauri,vibari,vijakazi,gharama za kulala rusaka miezi kadhaa?
mkuu kunawake zawatu mpaka Leo wameolewa rusaka wakiwa wanasubiri pesa zao
kuna walio.jinyonga na Kuna walio firisika pia
lakini binafsi ni mshukuru barozi wetu pale rusaka hakika alitu pambania kwani nibora hasara nusu kuliko hasara mazima
Aiseeh tuko busy kufanya maisha sio kukagua kagua herufi za post za watu matako weweWatu wasiojuwa tofauti ya "r" na "l" wanachosa sana kusoma. Unaishia huelewi kitu. Eti rusaka, barozi, firisika, vibari, hafadhari, serikari, kwa ajiri, somaria.
HOVYO!!
YessOption ni waache soko liamue, na mipaka isifungwe, anaetaka kuuza China auze, anaetaka kuuza Kenya auze tu
Wakulima wauze mazao yao kwa bei na soko wanakotaka sawa na wafanyabiashara zingineMkulima bado hajakombolewa, siku zote a alazimishwa kuuza bidhaa zake kwa bei ya chini au kukopwa na kulipwa kwa taabu.