Bandar Abbas
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 468
- 1,219
Acha uongo we mzee ,Grain bulk handlers wameingia mkataba na Rostam na genghi kufungua ghala kadhaa kubwa sana ICD Nairobi , wanatoa nafaka urusi moja kwa moja mpaka Kenya . Mazao ya Kenya hayatoshi kusatisfy demand yao ,kule ugali ndo kama wali huku bongo.Serikali itanunua mahindi yote,huyo Jamaa kaandika upuuzi tuu usio na msingi na hafuatilii Hali ya mambo. Serikali kununua mahindi inahusikaje na soko kudoda?
Pili hakuna mfanyabiashara ataruhusiwa kwenda farm directly Kununua mahindi ya mkulima bila Kufuata vigezo.
Mwisho Ruto wa Kenya kazuia importation ya mahindi Kwa sababu wamezalisha ziada Kwa ruzuku kama Tanznaia na hivyo wanataka kununua mahindi Yao kwanza na sio ku import mahindi ya Tanzania ambayo ni bei rahisi harafu wauzie Serikali ya Kenya itakuwa hawajamsaidia mkulima wao ndio maana wamezuia.
Wanaimport kutoka kule baada ya kuona added bureacracy huku kwe2 . Huwezi wapiga importers added layer ya gharama eti wadeal direct na serkali sio mkulima . Hamna mfanyibiashara yyte hutaka dalali unnecessary .
Lile soko la Kenya miaka mitatu ijayo serikali isipochangamka itapotea