Achezea bakora kisa kuwafungia watoto ndani na kwenda kulewa

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274
Your browser is not able to display this video.

Mwanamke mmoja alipata adhabu ya viboko baada ya kuacha watoto peke yao nyumbani na kwenda kulewa. Kitendo chake kilizua hasira kwa jamii, kwani alionyesha uzembe kwa kuwatelekeza watoto, hali ambayo ingeweza kusababisha hatari kubwa.
 
Wanawake kama hawa hawa mwisho wa siku mambo yakiwaendea vibaya, wanatafuta wanaume wa kuwatunzia watoto wao wakati si kila mwanamme ni mtu sahihi kuwa naye kimapenzi maana utakuta mwingine yupo tu kwako kaja kulawiti watoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…