MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Wao hata kuzungusha mikono hewani na kubadili gia angani ni HOJA pia.Kwanza hawana hoja
Wao hata kuzungusha mikono hewani na kubadili gia angani ni HOJA pia.Kwanza hawana hoja
wakili sijui umri wako ila waliochangia kupatikana hizo mali ni sisi........Mkuu,umiliki ni umiliki. Uhalali au uharamu hutamkwa na sheria au mahakama.
Hilo nalifahamuwakili sijui umri wako ila waliochangia kupatikana hizo mali ni sisi........
Hahahaha kazi kweli kweliMafisadi kama Masha, Lowasa, Tundu Lisu, &Co. ndiyo chanzo chao cha Mapato bila kuisahau Tanesco yetu!
Isingekuwa navyo. But,that is past. Tuiishi sasa MkuuHivi kama ccm.isingekuwa madarakani.ingekuwa na hivyo unavyovisema?
Ccm wameji chukulia mali sana.kisa tu chama tawala.hawana asset yoyote.Isingekuwa navyo. But,that is past. Tuiishi sasa Mkuu
Nilijiuliza mda mrefu kwa nn CHDEMA kuna wachache sauti zao hazina wa kuzinyamazisha kumbe wanadhamini chama!!!Mafisadi kama Masha, Lowasa, Tundu Lisu, &Co. ndiyo chanzo chao cha Mapato bila kuisahau Tanesco yetu!
Hahaaa usijali bana....Ohoooo kumbe ni watani, piganeni kabisa
MungaOhoooo kumbe ni watani, piganeni kabisa
Nilijiuliza mda mrefu kwa nn CHDEMA kuna wachache sauti zao hazina wa kuzinyamazisha kumbe wanadhamini chama!!!
USA baby kumbe kuna siku mi ccm inaibaga id yako inachangia?. Ccm mijizi sana.CCM mkubwa wewe!
Lione kwanza.
Wala hakuna anayeibaga ID yangu.USA baby kumbe kuna siku mi ccm inaibaga id yako inachangia?. Ccm mijizi sana.