Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
iNdiyo ahadi aliyopewa rostam na mpaka sass anawadai. Wamemwambia asubiri 2030 watakapochukua nchi["Ngushi, post: Michango kutoka kwa wahisani mbalimbali nchi za nje.
Hao wahisani kutoka Nje wananufaika vipi..?
au kunasiku CDM itaingia madarakani ndio watapata return yao..?
swadaktahayo majengo na viwanja vya mpira hao ccm walivipata wapi kama sio kujimilikisha mali ya umma?
Na tunasubiri wakiachia tuvichukue?hayo majengo na viwanja vya mpira hao ccm walivipata wapi kama sio kujimilikisha mali ya umma?
Ni kweli kabisa lakini nyakati hazifanani, CCM walipata hiyo fursa hata kama umeiita uharamia na cdm ijikwamue basi,hatupaswi kugandishwa na uharamia uliofanyika zamani.Mkuu uko na hoja ya msingi sana ila umekosea sana kusema ccm wanamiliki viwanja, hivyo viwanja ni nguvu kazi ya taifa iliyotumika michango ya watu wote, hivyo ccm walitumia uharamia kuvichukua hivyo viwanja
Sio kweli.... Mbona tumeona ccm ktk kipindi cha karibuni wakijenga majengo yao makubwa? CHADEMA hawawezi kufanya hivyo. Kwani sio taasisi ni saccos.Nina mashaka kama CCM inamiliki kihalali chochote kati ya hivyo vilivyotajwa kama vitegauchumi vya Chama . Ni sahihi kusema CCM ilijimilikisha mali zilizokuwa za watanzania wote na kuzifanya kuwa mali za chama. CCM kama chama, hakijawahi kujenga kiwanja chochote hata cha mpira wa pete...Tuacheni mambo ya political correctness tunapoamua kusema ukweli.
Nina mashaka na uelewa wa mtoa mada, Eti miradi umeota au umefanya tafiti, Ungekuja na Facts kwanza na references za kutosha kuhusu sheria za vyama vya siasa kuhusu umiliki wa mali uko vipi? Je chadema au CCM wanaruhusiwa kumiliki Football Club iwaingizie pesa? Nilitegemea mtu Kama wewe utumie kichwa vizuri sasa umekifanya kichwa mzigo juu ya mabega
USA BABYWala hakuna anayeibaga ID yangu.
Mimi ukinielewa vizuri wala hutopata shida na niandikayo humu....
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]USA BABY
Ndi maana ya chama anzilishi/ chama dumehayo majengo na viwanja vya mpira hao ccm walivipata wapi kama sio kujimilikisha mali ya umma?
Mkuu, ni upuuzi kujifanya kuwa huelewi kuwa hizi zilikuwa mali za umma na CCM imezihodhi kwa hila. Sasa sijui una maana gani katika ulinganisho wakoMkuu,umiliki ni umiliki. Uhalali au uharamu hutamkwa na sheria au mahakama.