johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma.
Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru abiria na ajali za kizembe.
Chanzo: Clouds tv
Pia soma > Kuanzia 18/01/2022 Mabasi ya Abiria yatokayo Dodoma yatakuwa yanasindikizwa na Polisi ili kudhibiti ajali barabarani