igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Exactly maana hawa wenzetu wanakurupuka tuu, hasa baada ya kushindwa kusimamia usalama barabarani. Mfano sioni ni kwa nini barabara kuu zote zisifungwe camera ili kubaini magari yote yanayoendeshwa vibaya...Kwa sasa ingekuwa vizuri kupata tafiti kutoka tume huru ili kupata takwimu sahihi.....