johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania yetu...Kumbe jeshi lina askari wa kutosha mpaka wengine hawana cha kufanya
... kunakuwa na askari ndani kuhakikisha dereva anazingatia sheria zote za usalama barabarani. Sijui siku iikija kutokea ajali kwa gari iliyokuwa inasindikizwa watasemaje tena! Maana hata gari zao hizo hizo za polisi zinapiga mizinga balaa.Wanayasindikizaje?.
Msafara na ving'ora kama vile viongozi wakuu?.
Duuuh! huu sasa ni mzaha...... kunakuwa na askari ndani kuhakikisha dereva anazingatia sheria zote za usalama barabarani. Sijui siku iikija kutokea ajali kwa gari iliyokuwa inasindikizwa watasemaje tena! Maana hata gari zao hizo hizo za polisi zinapiga mizinga balaa.
Vipi utaratibu wa kuzuia rushwa kwa huko barabarani?ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma.
Wakipata mafunzo ya polisi ndio watatuua,polisi wanaongoza kuvunja sheria... kunakuwa na askari ndani kuhakikisha dereva anazingatia sheria zote za usalama barabarani. Sijui siku iikija kutokea ajali kwa gari iliyokuwa inasindikizwa watasemaje tena! Maana hata gari zao hizo hizo za polisi zinapiga mizinga balaa.
... ingetungwa sheria madereva wote wa mabasi ya abiria lazima wapitie mafunzo ya polisi na wawe askari japo private watakuwa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; very simple ni thinking kidogo tu.
... hapana chief; kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Kuwepo wavunjifu wachache wa sheria haina maana ni jeshi lote linafanya hivyo. Hayo magari waendeshe wao; "mchawi mkabidhi mtoto akulelee"; wahenga hawajawahi kukosea.Wakipata mafunzo ya polisi ndio watatuua,polisi wanaongoza kuvunja sheria
Sio kwamba gari ya kwanza kuondoka mkoa husika inatanguliwa na gari ya polisi halafu hakuna gari nyingine kuipita hiyo ya mbele?... kunakuwa na askari ndani kuhakikisha dereva anazingatia sheria zote za usalama barabarani. Sijui siku iikija kutokea ajali kwa gari iliyokuwa inasindikizwa watasemaje tena! Maana hata gari zao hizo hizo za polisi zinapiga mizinga balaa.
... ingetungwa sheria madereva wote wa mabasi ya abiria lazima wapitie mafunzo ya polisi na wawe askari japo private watakuwa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; very simple ni thinking kidogo tu.
Wanapita na magari yao binafsi njia ya mwendokasi kila siku.kesi ya nyani hakimu ngedere... hapana chief; kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Kuwepo wavunjifu wachache wa sheria haina maana ni jeshi lote linafanya hivyo. Hayo magari waendeshe wao; "mchawi mkabidhi mtoto akulelee"; wahenga hawajawahi kukosea.
Hawa hawa waliosababisha ajali ya magari 8 kwa mpigo Tanga ndo wa kuwaamini?ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma.
Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru abiria na ajali za kizembe.
Chanzo: Clouds tv
Pia soma > Kuanzia 18/01/2022 Mabasi ya Abiria yatokayo Dodoma yatakuwa yanasindikizwa na Polisi ili kudhibiti ajali barabarani
Askari polisi anakuwa kwenye basi la kwanza!Sio kwamba gari ya kwanza kuondoka mkoa husika inatanguliwa na gari ya polisi halafu hakuna gari nyingine kuipita hiyo ya mbele?