Exactly maana hawa wenzetu wanakurupuka tuu, hasa baada ya kushindwa kusimamia usalama barabarani. Mfano sioni ni kwa nini barabara kuu zote zisifungwe camera ili kubaini magari yote yanayoendeshwa vibaya...
ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma.
Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru abiria na ajali za kizembe.