ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

Wazee wenye sentiments za muungano upande wa bara wapo lala salama.

Huko mbele sioni watu wakukubali kuburuzwa na kuendelea kuwachekea. Labda huko CCM wawe wanalea kweli walinda muungano wa kesho.
Nadhani uchaguzi wa 2025 hii iwe agenda pekee ikichagiza Katiba mpya
Sasa ngoja wa ujue ukweli huo, hao hao waliopiga makelele mafuta sio maswala ya muungano. Wakibaini refinery inafanyika Tanzania; utasikia hadithi zao mpya, awataki kulipia charges zozote na wapewe ajira.
Una point kubwa sana. Vijana waliopelekwa kusomea oil and gas za Mtwara kuna nafasi maalumu kwa Wazanzibar.
Hakuna asilimia ya Vijana wa Lindi au Mtwara!!

Ajira zote zinazohusu mafuta na gas ya Tanganyika kuna 21 ya Wazanzibar kwa jina la ajira za JMT

Swali, Zanzibar inachangia nini katika JMT?
 
Kama imeamuliwa hivyo, imeisha hiyo. Tanzania ipo salama kwenye mikono salama
 
Nadhani uchaguzi wa 2025 hii iwe agenda pekee ikichagiza Katiba mpya

Mambo ya evolution na nature yana-amuliwa na muda ukifika. Huko mbele kuna watu wataangalia comparative advantages ya Tanzania na Zanzibar; on what they bring on the table.

Eventually huo mzigo bara itaacha kuutikwa sio kwa sababu hawauwezi, Iła hao watu kukosa fadhila na hawana value kwa bara.
 
Ajira zote zinazohusu mafuta na gas ya Tanganyika kuna 21 ya Wazanzibar kwa jina la ajira za JMT

Swali, Zanzibar inachangia nini katika JMT?
Salaleh

Dint I say these people were predictable, sasa sio wasomeshewe tu (wapenda dezo). Hapo ni kwa akili zao za baadae watakuwa na industry yao ya oil and gas (OK may be in rigs).

Sasa ngoja wajue picha kamili huko mbele how the industry work uone, watakavyotaka kuwa sehemu ya refinery, ila wasichangie kwenye kulipa investment costs.

That’s kama ikitokea vitalu vyao vina reserve za kutosha; mpaka sasa kuna kitalu hata kimoja huko chenye mafuta ya commercial exploitation through exploration walizofanya mpaka sasa.

Tabia za wazanzibari kwa sasa zipo wazi ni uvumilivu wa bara tu, like I said wenye sentiments ndio hao hakina JK, Lhuwavi, Samia, Warioba and the likes.

Future ni comparative advantages what do they bring on the table wakiendelea na tabia hizi (and they have nothing) to offer zaidi ya kujiaminisha ujinga tu on unrealistic possibilities za uchumi wao.
 
Mambo ya evolution na nature yana-amuliwa na muda ukifika. Huko mbele kuna watu wataangalia comparative advantages ya Tanzania na Zanzibar; on what they bring on the table.
Right now! Watanganyika wanatafakari na kujiuliza , kuna kitu gani kinachwalazimu kubeba lawama hizi.
Mfano, kwanini resources za JMT a.k.a Tanganyika zinatumika Zanzibar wakati wao wanataka autonomy!
-Kwanini Chuo cha Wanyapori Mweka kijenge campus Zanzibar na si SMZ kujenga chuo chake!
-Kwanini TIA ijenge chuo Zanzibar na si SMZ kujenga Chuo chake cha Uhasibu
-Kwanini UDSM Wajenge Campus Zanzibar wakati SMZ ina vyuo vyake
Kumbuka Taasisi hizo zitandeshwa kwa gharama kutoka Tanganyika kwa jina la JMT.

Ni rasilimali gani za Zanzibar zinazotumika kusaidia eneo lolote la Tanganyika!
Eventually huo mzigo bara itaacha kuutikwa sio kwa sababu hawauwezi, Iła hao watu kukosa fadhila na hawana value kwa bara.
In fact for many years Watanganyika hawakujali kuibeba Zanzibar na weng hawakujua Tanganyika imeibeba Zanzibar kiuchumi na kijamii. Kutokana na kelele kama za kina OMO watu wamechimba na kujiuliza sana na wanapata majibu. Ndio maana tunaona hata ''Bendera za Tanganyika katika T-Shirt''

Mzee Warioba alisikia kutoka kwa Watanganyika, akapuuzwa na CCM.
Warioba alitaka Serikali 3 makusudi kabisa kupunguza ukali wa hoja hasa za Watanganyika.
Kwa hali ilivyo, ipo siku hii itakuwa agenda ya uchaguzi na CCM hawatakuwa na chaguo!
 
Right now! Watanganyika wanatafakari na kujiuliza , kuna kitu gani kinachwalazimu kubeba lawama hizi.
Mfano, kwanini resources za JMT a.k.a Tanganyika zinatumika Zanzibar wakati wao wanataka autonomy!
-Kwanini Chuo cha Wanyapori Mweka kijenge campus Zanzibar na si SMZ kujenga chuo chake!
-Kwanini TIA ijenge chuo Zanzibar na si SMZ kujenga Chuo chake cha Uhasibu
-Kwanini UDSM Wajenge Campus Zanzibar wakati SMZ ina vyuo vyake
Kumbuka Taasisi hizo zitandeshwa kwa gharama kutoka Tanganyika kwa jina la JMT.

Ni rasilimali gani za Zanzibar zinazotumika kusaidia eneo lolote la Tanganyika!

In fact for many years Watanganyika hawakujali kuibeba Zanzibar na weng hawakujua Tanganyika imeibeba Zanzibar kiuchumi na kijamii. Kutokana na kelele kama za kina OMO watu wamechimba na kujiuliza sana na wanapata majibu. Ndio maana tunaona hata ''Bendera za Tanganyika katika T-Shirt''

Mzee Warioba alisikia kutoka kwa Watanganyika, akapuuzwa na CCM.
Warioba alitaka Serikali 3 makusudi kabisa kupunguza ukali wa hoja hasa za Watanganyika.
Kwa hali ilivyo, ipo siku hii itakuwa agenda ya uchaguzi na CCM hawatakuwa na chaguo!
Muungano kwa sasa ni sentimental, muda utafika wazanzibari wasipo badilika utakufa natural death.

Mimi na wewe haya majibizano hatujaanza leo, huko nyuma tulikuwa wide apart kwenye hoja (toka zama rasimu ya katiba). Mimi nikiwa pro muungano.

Leo bado nipo upande wa muungano, ila naona wazanzibari wanahitaji kubadilika. Ipo siku viongozi wa kesho ambao hawalishiwi propaganda za muungano kama nilizokua nazo mimi wakati nipo shule (maana sio kizazi cha TANU) bali wa kulishwa propaganda zao muungano wao.

Kwa hivyo nina kijisentimenti ka muungano, japo mtu kama OMO anachosha balaa; sasa ipo siku kutakuwa na watu serikalini ambao hawana sentiments za TANU na Afro Shiraz kwa upande wa bara kabisa. Hoja zao na msingi wao wa maamuzi itakuwa what’s in it for us; hapo ndio tutakapo gawana mbao.

Utakufa tu eventually maana umeshindwa kutu unganisha, ni swala la muda.

Kasheshe wanazaliana hao balaa, sijui wataenda wapi.
 
Hata kama zingekuwa nchi mbili sheria ya. bahari inataka mpaka upite katikati ya bahari kama umbali wa bahari ya nchi mbili hauzidi umbali wa exclusive economic zone wa nchi moja au in case ya umbali wa territorial water hauzidi territorial water wa nchi moja sasa kisiwa ambacho kipo maili sita toka Tanganyika kati ya umbali wa km 42 kati ya Tanganyika na Zanzibar hakiwezi kuw

Kutokea Tanganyika hadi fungubaraka ni km7 hadi nane hivo wao kutokea Tanganyika wako km42 wanatakiwa wapige hesabu halafu watulie ,
Umbali ni Hoja dhaifu.
Tuambie kutoka ARGENTINA mpaka visiwa vya FALKLAND(LAS MALVINAS) kuna km ngapi na kutoka FALKLAND mpaka UK. kuna km ngapi?
Kwa wale wasiofahamu ni 500 km kwa 13,000 km.
 
Muungano kwa sasa ni sentimental, muda utafika wazanzibari wasipo badilika utakufa natural death.
Na Wazanzibar wanahusika zaidi, iwe kwa manufaa au la , uharibifu umeshanyika.
Mimi na wewe haya majibizano hatujaanza leo, huko nyuma tulikuwa wide apart kwenye hoja (toka zama rasimu ya katiba). Mimi nikiwa pro muungano.
Sina tatizo na Muungano, lakini muungano wowote lazima uwe 'win-win situation''. Kwasasa Muungano umekuwa burden kwa Tanganyika. Fikiria, Mchango wa Zanzibar haupo lakini kuna investment kubwa inafanywa kuwa please. Hakuna Mkoa wa Tanganyika unaopokea resource nyingi kuliko Zanzibar.
Tazama population na eneo la Zanzibar plus autonomy ya kuwa na serikali halafu ujiulize, kwanini Zbar !
Leo bado nipo upande wa muungano, ila naona wazanzibari wanahitaji kubadilika. Ipo siku viongozi wa kesho ambao hawalishiwi propaganda za muungano kama nilizokua nazo mimi wakati nipo shule (maana sio kizazi cha TANU) bali wa kulishwa propaganda zao muungano wao.
Kizazi cha sasa ni tofauti na kile cha Mwalimu.Muungano unaangaliwa kwa jicho la uchumi si undugu wa kufanana. Waliosaidia ku sentisitize kizazi cha Watanganyika ni Wazanzibar kama akina OMO. Tuwashukuru sana

Ukimuuliza OMO, mchango wa Zanzibar katika muungano ni upi, hana jibu na wala hajawahi kujibu
Ukimuuliza wapi wanaonewa, hana jibu lakini akitoka hapo anarudia upuuzi ule ule.
Ukimwambia kwanini ACT hawapeleki mswada Baraza la Wawakilishi kuvunja muungano, hana jibu
Kwa hivyo nina kijisentimenti ka muungano, japo mtu kama OMO anachosha balaa; sasa ipo siku kutakuwa na watu serikalini ambao hawana sentiments za TANU na Afro Shiraz kwa upande wa bara kabisa. Hoja zao na msingi wao wa maamuzi itakuwa what’s in it for us; hapo ndio tutakapo gawana mbao.
Maalimu Seif alikuwa reasonable ukimlinganisha na OMO. Huyu OMO hana hoja za msingi na hata anazotoa ni hafifu sana. Kuhusu watu Serikali Wapo tayari ni 'suala la muda tu'' na kila mahali watu wanauliza swali lako ''what's in it for us''. Na kwanini Wazanzibar wana 'special status'' katika muungano! na wao kwa u special wao wana mchango gani kwa maendeleo ya Tanganyika.

Kwanini Tanganyika haina autonomy ya mambo ambayo Zanzibar hawataki yawe ya Muungano!
Kwa mfano Elimu ya Juu, Afya, Kilimo, Utalii, Madini, Viwanda na Biashara, Maliasili n.k. kwanini ziwe za JMT ambazo Zanzibar ni beneficiary kwa kupitia jina Tanzania lakini Zanzibar hao hao hawataki kuwa sehemu ya mchango wa hayo mambo tena wanasema ni mambo yameongezwa kinyemala

Kasheshe wanazaliana hao balaa, sijui wataenda wapi.
Hilo ni tatizo lao! Hawatazami jinsi Zbar inavyouzwa, visiwa vyote mnada! ni tatizo lao
 
Ili tupone kutoka kwenye huu ujinga, serikali ya Zanzibar ifutwe. Au la Tanganyika irudi.

Huu ujinga wa Tanzania bara na Zanzibar ni ushetani iko siku tutapigana Tanzania bara(Tanganyika) na Tanzania visiwani(Zanzibar).

Serikali ya Zanzibar isiruhusiwe kuingia mikataba inayohusisha rasilimali za Taifa.

Mikataba hiyo iingiwe na serikali ya jamuhuri ya Tanzania.

Ilikuwa hivyo siku zote, lakini naona wanaanza kupotoka taratibu, mwisho tutapigana tukienda hivi.

Mgogoro wa ziwa nyasa tutauona Tanzania visiwani.
 
Umbali ni Hoja dhaifu.
Tuambie kutoka ARGENTINA mpaka visiwa vya FALKLAND(LAS MALVINAS) kuna km ngapi na kutoka FALKLAND mpaka UK. kuna km ngapi?
Kwa wale wasiofahamu ni 500 km kwa 13,000 km.
Usipotoshe Falklands ni koloni la Uingereza, Argentina inadai Falkland ni sehemu yake lakini kiuhalisia Falkland ni nchi ya kisiwa; wakazi wake kwa kuigopa kuwa wakipata uhuru watavamiwa na Argentina ndiyo maana wakaomba Uingereza iendelee kuitawala.

Hivyo Argentina na Falkland ni nchi mbili zilizo karibu kama vile Tanganyija na zanzibar.

Kwa kuwa watanganyika wamelala usingizi wa pono endeleeni kupiga kelele huenda mkafanikiwa lakini kisiwa hicho ni mali ya Tanganyika.
 
Kwa mujibu wa ibara ya pili ya katiba ya JMT, eneo la JMT ni eneo lote la iliyokuwa Tanganyika na eneo lote la iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar!.

Ardhi yote ni mali ya Watanzania chini ya udhamini wa rais wa JMT, ila Rais wa JMT kabla hajalihawanya eneo la Zanzibar, atajadiliana kwanza na rais wa Zanzibar, visiwa vyote vya bahari ya Hindi mkabala na Tanzania ikiwemo Zanzibar na Pemba ni mali ya JMT.
P
Huenda uko sawa! Linapotokea sintofahamu kati ya sehemu hizi, kinachofanyiwa marejeo ni Mkataba wa muungano na Sheria ya muungano.
 
Ili tupone kutoka kwenye huu ujinga, serikali ya Zanzibar ifutwe. Au la Tanganyika irudi.
Hili la kufutwa Zanzibar halipo, ila la Tanganyika kurudi linawezekana, lkn kwa Watanganyika nyiye, naona itachkua muda
Huu ujinga wa Tanzania bara na Zanzibar ni ushetani iko siku tutapigana Tanzania bara(Tanganika) na Tanzania visiwani(Zanzibar).
Hatutarajii hilo kutokea
Serikali ya Zanzibar isiruhusiwe kuingia mikatana inayohusisha rasilimali za Taifa. Mikataba hiyo iingiwe na serikali ya jamuhuri ya Tanzania. Ilikuwa hivyo siku zote, lakini naona wanaanza kupotoka taratibu, mwisho tutapigana tukienda hivi
Ni kweli. ila hili linajitokeza kutokana na mtazamo wa roho mbaya na uchoyo kutoka Tanganyika.
Ili tupone kutoka kwenye huu ujinga, serikali ya Zanzibar ifutwe. Au la Tanganyika irudi.

Huu ujinga wa Tanzania bara na Zanzibar ni ushetani iko siku tutapigana Tanzania bara(Tanganika) na Tanzania visiwani(Zanzibar).

Serikali ya Zanzibar isiruhusiwe kuingia mikatana inayohusisha rasilimali za Taifa. Mikataba hiyo iingiwe na serikali ya jamuhuri ya Tanzania. Ilikuwa hivyo siku zote, lakini naona wanaanza kupotoka taratibu, mwisho tutapigana tukienda hivi.

Mgogoro wa ziwa nyasa tutauona Tanzania visiwani.
Sisi Waswahili huwa tunasema: 'nyimbo mbaya habembelezewi mtoto'
 
Maalimu Seif alikuwa reasonable ukimlinganisha na OMO. Huyu OMO hana hoja za msingi na hata anazotoa ni hafifu sana.
Hili la Maalim Seif uko sawa kwani hawa ni watu wawili tofauti, hivyo hawawezi kuwa sawa.

Ama haya madai kwamba OMO hana hoja, huenda huelewi anachosema na hivyo huoni ndani. Huyu anatoa hoja za kisheria na sio za kisiasa.
Kwanini Tanganyika haina autonomy ya mambo ambayo Zanzibar hawataki yawe ya Muungano!
Haina kwasababu ndo makubaliano ya muungano.
mambo ambayo Zanzibar hawataki yawe ya Muungano!
Kwa mfano Elimu ya Juu, Afya, Kilimo, Utalii, Madini, Viwanda na Biashara, Maliasili n.k. kwanini ziwe za JMT ambazo Zanzibar ni beneficiary kwa kupitia jina Tanzania lakini Zanzibar hao hao hawataki kuwa sehemu ya mchango wa hayo mambo tena wanasema ni mambo yameongezwa kinyemala
Hapa ndo umechanganya mambo na ni kwasababu hujui. Nikukumbushe tu kwamba katika hiyo orodha uliyiandika kuna mambo tayari ni ya muungano.

Jitahidi kujifunza.

Mchango gani unaousemea. Na wakisema yameongezwa kinyemela hawajakosea kwani wanazungumzia muungano ambao ni mkataba wa kisheria.
 
Usipotoshe Falklands ni koloni la Uingereza, Argentina inadai Falkland ni sehemu yake lakini kiuhalisia Falkland ni nchi ya kisiwa; wakazi wake kwa kuigopa kuwa wakipata uhuru watavamiwa na Argentina ndiyo maana wakaomba Uingereza iendelee kuitawala.

Hivyo Argentina na Falkland ni nchi mbili zilizo karibu kama vile Tanganyija na zanzibar.

Kwa kuwa watanganyika wamekaka usingizi wa pono endeleeni kupiga kelele huenda mkafanikiwa lakini kisiwa hicho ni mali ya Tanganyika.
Falkland Islands ni annex si koloni la UK. Kama ni koloni tuambie ilitawaliwa lini mpaka lini baada ya kukaribia kupata uhuru ikaomba ibaki kutawaliwa ili isivamiwe na Argentina.
Nashukuru umekiti kua Falkland Islands si sehemu ya Argentina licha ya Argentina kudai kua ni sehemu yake na mpaka Falklands kuogopa kuvamiwa.
Hivyo nasisitiza distance si issue ya umiliki.
 
Act ni chama cha wazanzibar, Hilo eneo wapelekww jeshi maana ni kazi yake kulinda mipaka.
Halafu watanganyika waache ujinga kukaa kwenye muungano usio na faida na pia kuwapa maeneo huku bara.
Wake na maeneo yao na wasiruhusiwe kumiliki ardhi.
 
Unaleta ubishi wa Simba na yanga.
Falkland sio sehemu ya uingereza ila inamilikiwa na uingereza; huwa kuna tendency ya nchi kubwa kudai sehemu au ardhi yote ya nchi ndogo jirani rejea Gilbatral iiliyopo chini ya uingereza lakini Spain inaidai, Mayote walipiga kura wawe sehemu ya Ufaransa na walikataa uhuru mwaka 1975 wakati ufaransa ilipoitisha kura ya maoni katika visiwa vya comoro, Sahara magharibi na Morocco nk.
 
Act ni chama cha wazanzibar, Hilo eneo wapelekww jeshi maana ni kazi yake kulinda mipaka.
Halafu watanganyika waache ujinga kukaa kwenye muungano usio na faida na pia kuwapa maeneo huku bara.
Wake na maeneo yao na wasiruhusiwe kumiliki ardhi.
Kwa hiyo muungano wenye faida ni kuimeza Zanzibar hivi nyinyi watanganyika mbona hamjielewi mbona MNA rasilimali nyingi tuu za kukutoweni katika umaskin hamtosheki mpaka kile kidogo cheti mukinganganie??
 
Back
Top Bottom