Pre GE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu 'Bams', nadhani hukuelewa alicho lenga aliye uliza maswali (Ushman).
Huo utu wema kama ulio uonyesha wewe ndiyo inayo takiwa hiyo. Hukuwa na hofu yoyote na usalama wako ulipo kuwa unafanya wema huo. Maeneo ya hapo ulipo toa msaada hukuwa na mashaka nayo; na pengine ilikuwa ni mchana.

Hapo 'Coco beach' pana sifa yake; na wakati wenyewe ni usiku!
Huyo/hao wasamaria wema pengine walikuwa ni watu zaidi ya mmoja. Siyo rahisi kwa mtu mmoja kusimama maeneo hayo usiku
Sasa, huyu /hawa wasamaria wema walombwa na majeruhi awahishwe kwenye ofisi za chama; au hospitalini, au hata katika mikono ya polisi kwa usalama? Ni nani hawa/huyu msamaria mwema?
Wewe polisi wali kushukuru; kwa sababu ulifuata taratibu za kujitambulisha kwao, au siyo?
 
Inawezekana unatoka kwenye "ujinga" ukielekea kwenye upumbavu. Sina njia ya kukusaidia hilo lisitokee.
Bora Mimi kuliko wewe uliyejaza matope kichwani hata Mimi Sina msaada wa kukusaidia
 
Tanzania ujuaji mwingi ndio maana tunaendelea kutekwa. Yaani mnahoji Kana kwamba ACT wanadanganya au kwamba Nondo alijiteka? Kwamba Serikali haihusiki? Yaani mtu aje na AK 47 mchana kweupe na asidakwe?

Tuendelee tu kutekwa na kuuwawa labda wakifa kama Soka au Kibao ndio tutaaamini
 
Huna ubora wowote, tokana na uchafu mwingi unao toka akilini mwako.
Wee ni mpumbavu.unaweza kutuambia nondo alifikaje coco beach kutoka stend ya magufuli?
Tumia akili japo kidogo basi
 
Wee ni mpumbavu.unaweza kutuambia nondo alifikaje coco beach kutoka stend ya magufuli?
Tumia akili japo kidogo basi
hayo ume yasoma wapi?
Hii hali yako mpya "upumbavu" naona bado hujaizoea vizuri. Tulizana kidogo uanze kuizoea hali hiyo kwanza.
 
hayo ume yasoma wapi?
Hii hali yako mpya "upumbavu" naona bado hujaizoea vizuri. Tulizana kidogo uanze kuizoea hali hiyo kwanza.
🤣🤣🤣.ebu meza kwanza dawa zako.maana hata haujui kinachoendelea kumbe.naona unadandia magari kwa mbele tu.kwa heri
 
🤣🤣🤣.ebu meza kwanza dawa zako.maana hata haujui kinachoendelea kumbe.naona unadandia magari kwa mbele tu.kwa heri
Inabidi nicheke tu, kwa jinsi ulivyo na upungufu mkubwa wa uelewa.
 
Huwezi juwa, huenda yeye mwenyewe (Rais) ni mateka!
Ingawa nina mashaka makubwa na wazo hili.
 
Mimi yote najiuliza na nimeshajiuliza.

All in all kwa upande wangu naamini alitekwa.
Kutekwa ni kweli kabisa alitekwa. Lakini hapo pa kunusurika kifo(Kuuawa) ni kwa kudra ya Mwenyezi Mungu tuu na wala sio kwa ujanja wake.
 
Naona kama tumepigwa vile.

Haya maelezo ni kama soap opera
 
Huwezi juwa, huenda yeye mwenyewe (Rais) ni mateka!
Ingawa nina mashaka makubwa na wazo hili.
Sidhani kama ni mateka, kifo cha Mzee Kibao wakati akihutubia maafisa wa polisi asingekipuuzia na kusema kifo ni kifo tu, halafu akawashukia mataifa ya nje yaliyokuwa yakikosoa
 
Sidhani kama ni mateka, kifo cha Mzee Kibao wakati akihutubia maafisa wa polisi asingekipuuzia na kusema kifo ni kifo tu, halafu akawashukia mataifa ya nje yaliyokuwa yakikosoa
EEeeeeenHEEeeee!

Hilo la "kuwashukia mataifa ya nje..." ilikuwa ni igizo ambalo hata mtoto mdogo asinge kubali kuwa igizo lime fana.

Unajuwa, kujivimbisha huko mbele za jeshi la polisi na wananchi, ni njia nzuri ya kuwahakikishia watekaji kuwa mtu wao yupo kwenye mstari?
Hawezi kujitokeza mbele za wananchi na kujionyesha yeye siyo 'in-charge', hata kama yupo chini ya amri za watekaji.
Kwa hiyo hapo usiweke tafsiri hiyo ikufanye kuamini kwamba yeye siyo mateka.
Sasa ninayo mashaka makubwa juu ya huyu mama; kama kweli anaongoza nchi kwa utashi wake.
 
Wise Man Kalamu unataka kusema ni mateka kivipi?
 
Wise Man Kalamu unataka kusema ni mateka kivipi?
Kwamba kuna kundi linalo mshikilia na kumtisha kwamba asipo fanya mambo kadhaa wataondoa ushirikiano wao kwake; au kundi linalo mdanganya kwamba asipo fanya haya ya kutisha watu hataendelea kwenye uongozi.

Ukiangalia historia yake tokea ameshika wadhifa huo, amekuwa ni mtu wa kuyumba yumba sana. Kwanza alitaka kuwafurahisha lile kundi la marehemu Magufuli, kwa "Kazi iendelee"; na Mbowe angali jela kwa ugaidi wa kutungwa na yeye raisi kakandamiza zaidi kwa kubainisha kuwa magaidi wengine walio shirikiana na Mbowe tayari walikuwa jela!

Lakini wakati huo huo akitamani pia aonekane na mataifa ya nje na wafadhiri kuwa yeye ni tofauti na yule aliye mrithi . hapo ukaona maswala ya "Mazungumzo ya Maridhiano".

Pengine makundi tunayo kisia kumteka, ni hayo hayo yanayo sababisha kuyumba yumba sana katika maamuzi yake.
Unaweza pia kupata picha ya kutokuwa imara kwake hata katika teuzi anazo fanya mara kwa mara. Ni kama anaamrishwa na mtu pembeni - mtoe Palamagamba na Lukuvi; mlete Bashite pale; na kabla hawajatulia, walete ndani ya serikali wakusaidie kuendelea na madaraka 2025!

Mambo yote haya hayafanywi na mtu mwenye msimamo, anaye juwa anacho fanya yeye mwenyewe.

Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo yanaweza kuchangia dhana ya "Rais kuwa Mateka". Yapo mengi ukiyatafakari vizuri.
 
Kuhusu kitu ambacho Nondo alikuwa anaambiwa na watekaji Mchinjita amesema “maelezo anaytoa (Abdul Nondo) ni kwamba alipigwa na alikuwa kwenye kitisho cha kifo na yeye alipopelekwa pale Coco Beach na
Pole Ndugu Nondo.
===
Maelezo hayajakamilika. Walikuwa wanamueleza nini ya kwa nini wanamtishia kifo?
 
tuliyoambiwa hadi sasa yanatia shaka mtu asiyejiweza kutokana na kuumizwa aliwezaje kuomba msaada je alinyanyuka akasogea hadi barabarani akaomba msaada?
Tena amefungwa kitambaa usoni!
 
Wana balance utekaji hakuna lolote.......maigizo tu CDM ndio walemgwa sio ACT...period
 
Hii nadharia ina sound sana na ni very logic. Kama walivyofanya Mo Dewji... Baada ya kupigiwa kelele sana juu ya utekaji na mauaji mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea wakatafuta mtu maarufu/tycon ili kutengeneza drama na lengo lilikuwa sio kumdhuru wala kupata chochote kutoka kwake(pesa) ila tu kutengeneza drama ku cover up uhuni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…