ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

Hii mada ilifaa ikae kwenye jukwaa la siasa.

Tukirudi kwenye mada, madaktari wa Bongo wanaweza kutishwa wasiseme ukweli.

Pia, huenda ndio maana hawakumjeruhi sana kwasababu walijua wameshampa sumu itayomdhuru polepole.

Inawezeka watekaji sasa wamebadili style ya kuua/kudhuru wanaowateka kwa kuwadhuru kimyakimya kama hivyo kupunguza kelele za watu.
 
Umeona eeh.

Inawezekana alijiteka, akajipiga hadi kujivimbisha mikono mgongo na nyayo, akajiwekea sumu, kisha kwenda kujitupa coco beach, na baadae kuita watu wampeleke ofisini kwao.

Au unaonaje?
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa na Shangazi yenu The Sunk Cost Fallacy 2 njaa za mabosi wenu zinamalizia kuligawa Taifa vipande vipande.
gentleman,
aliegawanyika ni wewe pekeyako na viongozi waandamizi wa chama chako amabo hawewezi tena kutizamana macho kwa macho. Ni suala la muda tu pambano lianze rasmi...

Tanzania ni moja,
na itabaki kua moja chini ya jemedari mkuu wa nchi moja, na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan na si vinginevyo
 
Aonekane kivipi Ndugu yangu?
Unataka ushuhuda UPI apa mkuu
 
Weye mjinga sana walipokelewa na walinzi wa chama khanisi Waheed weye
 
Wampeleke India kabla haujawa too late.
 
Tanzania ni moja,
na itabaki kua moja chini ya jemedari mkuu wa nchi moja, na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan na si vinginevyo
Naona Askari wenzako wamepika tukio la Kukamata wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…