ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

Naona Askari wenzako wamepika tukio la Kukamata wasiojulikana.
there is completely no room or escape root for criminals within the borders of our beautiful country.

there is zero tolerance for the ones who are in one way or another, associates in planing for criminal acts in this very beautiful republic,

endangering peace and stability of good people of Tanzania is grave mistake.
better to be careful, someone may end up being buried :pulpTRAVOLTA:

Waharifu mnawafuga na mnawatuma na kuwatumia nyinyi CCM vichaa kabisa.
Then mnakuja na maigizo ya kitoto.
 
Sasa Tanzania ndio tumefika hapa kweli?! Simba anaua swala na digidigi kwa ajili ya chakula, nyoka anamuua mwanadamu bila kumla kwa sababu ya kujihami. Mwanadamu anamuua mwanadamu mwenzie kwa ajili ya kulinda nafasi yake kweli!? Laana kubwa sana hii kwa Taifa! Fahamuni kwamba Mungu anaona (God is watching)! History reminds us wababe wa Dunia waliishiaje hapa duniani? Madikteta wa duniani mwisho wao ulikuwaje? Always tenda wema na ha haki katika nafasi yako hapa duniani kwa sababu hujui kesho yako hapa duniani na ahera! GOD IS WATCHING!
 
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo iliyotokana na kuumizwa vibaya wakati alipotekwa na baadae kutelekezwa katika ufukwe wa Bahari wa Coco Beach jijini Dar eSalaam.

Aidha Madaktari wamedai mwili wa Abdul Nondo unaonyesha kuwa na kiwango kikubwa cha Sumu ambayo mpaka sasa hawajajua kama zimetokana na athari za kupigwa na kuteswa au kama alipewa kitu chenye sumu na watekaji wake.

Kutokana na hali hiyo Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, umewaomba madaktari kumfanyia Uchunguzi zaidi kwa ajili ya kubaini aina ya Sumu iliyo mwilini mwake na kama zimetokana na kupewa Sumu
Kwa sasa hali ya Mwenyekiti Abdul Nondo bado si nzuri, mikono yake imevimba na ana maumivu makali mwilini japo madaktari wanaendelea kupambana kuhakikisha afya yake inaimarika na kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Tunawashukuru watanzania wote kwa maombi yenu kwa Mwenyekiti wetu, tunaomba tuendelee kumwombea wakati madaktari nao wakiendelea kupambana kurejesha afya yake katika hali ya kawaida.

Huu unyama haukubaliki, utawala wa Sheria upo wapi ?
 
Umeokotwa usiku unasema niliwaambia wanipeleke ofisi ya chama usiku saa 5 sababu watanisaidia sasa kweli saa 5 usiku nani yupo ofisini? kama aliweza kuwapigia simu kwanini asingewapigia pale pale alipopatikana. Huyo aliyemuokota mbona haonekani? kweli hakuna hata mashahidi.
Kaa kimya sio lazima uongee ujinga wako pumbavu Mimi Baba yako nimekwambia kaa kimya
 
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo iliyotokana na kuumizwa vibaya wakati alipotekwa na baadae kutelekezwa katika ufukwe wa Bahari wa Coco Beach jijini Dar eSalaam.

Aidha Madaktari wamedai mwili wa Abdul Nondo unaonyesha kuwa na kiwango kikubwa cha Sumu ambayo mpaka sasa hawajajua kama zimetokana na athari za kupigwa na kuteswa au kama alipewa kitu chenye sumu na watekaji wake.

Kutokana na hali hiyo Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, umewaomba madaktari kumfanyia Uchunguzi zaidi kwa ajili ya kubaini aina ya Sumu iliyo mwilini mwake na kama zimetokana na kupewa Sumu
Kwa sasa hali ya Mwenyekiti Abdul Nondo bado si nzuri, mikono yake imevimba na ana maumivu makali mwilini japo madaktari wanaendelea kupambana kuhakikisha afya yake inaimarika na kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Tunawashukuru watanzania wote kwa maombi yenu kwa Mwenyekiti wetu, tunaomba tuendelee kumwombea wakati madaktari nao wakiendelea kupambana kurejesha afya yake katika hali ya kawaida.
Mama anaupiga mkubwa.
 
there is completely no room or escape root for criminals within the borders of our beautiful country.

there is zero tolerance for the ones who are in one way or another, associates in planing for criminal acts in this very beautiful republic,

endangering peace and stability of good people of Tanzania is grave mistake.
better to be careful, someone may end up being buried :pulpTRAVOLTA:

Profesa wa KIU
 
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo iliyotokana na kuumizwa vibaya wakati alipotekwa na baadae kutelekezwa katika ufukwe wa Bahari wa Coco Beach jijini Dar eSalaam.

Aidha Madaktari wamedai mwili wa Abdul Nondo unaonyesha kuwa na kiwango kikubwa cha Sumu ambayo mpaka sasa hawajajua kama zimetokana na athari za kupigwa na kuteswa au kama alipewa kitu chenye sumu na watekaji wake.

Kutokana na hali hiyo Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, umewaomba madaktari kumfanyia Uchunguzi zaidi kwa ajili ya kubaini aina ya Sumu iliyo mwilini mwake na kama zimetokana na kupewa Sumu
Kwa sasa hali ya Mwenyekiti Abdul Nondo bado si nzuri, mikono yake imevimba na ana maumivu makali mwilini japo madaktari wanaendelea kupambana kuhakikisha afya yake inaimarika na kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Tunawashukuru watanzania wote kwa maombi yenu kwa Mwenyekiti wetu, tunaomba tuendelee kumwombea wakati madaktari nao wakiendelea kupambana kurejesha afya yake katika hali ya kawaida.
Wauwaji mnawajua pamamaben
 
Back
Top Bottom