ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Kama una hoja weka mezani ila uwekezaji wa Bandari ni lazima, hongera sana ACT Wazalendo

View: https://www.instagram.com/reel/CwxCiuWKjdJ/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
20230904_143307.jpg
 
Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE.

View attachment 2738378
Nyinyi jamaa na yule Kiongozi wenu Mkuu, huwa siwaamini kabisa. Hivi mnaweza hata kutoa msimamo wa kuunga mkono eti!!

Maana unafiki, uchumia tumbo, udini, nk kamwe hamuwezi kutenganishwa navyo.
 
Hata KKKT wanaunga mkono uwekezaji bandarini, hata mimi naunga mkono uwekezaji bandarini. Ila sio huo wa mkataba wa KIPUMBAVU kama wa DP WORLD. Wenye vipengele vya unyonyaji. Kama wanaunga mkono DP WORLD siwezi kishangaa. Undumilakiwili, udini na ubinafsi wa Zitto unajulikana
 
Yeyote anayeunga mkono mkataba wa DP WORLD na serikali ya TZ hana akili. Thinking capacity Iko chini. Reasoning is very LOW. Kama huna akili kweli kama nilivyoelezea hata hapa nilichokiandika hutakielewa.
 
ACT Wazalendo iko Zanzibar baba Waislamu Watupu

Huyu Zitto alishaga muuzia Chama Maalim Seif 🤣🌟🐼
 
Back
Top Bottom