ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Tena hao kanisa katoliki ndiyo kabisa walikuwa wa kwanza kutuingiza kwenye makucha ya ukoloni nchi hii.

Hao kqnisq katoliki ndiyo walikuwa vinara vya kuuwa wazalendo wa vita vya majimaji kwa jina la kurusedi.

Bila hao Tanganyika hata mjerumani asingeitawala.

Hao ni wrong number kabisa.

Wanaenda mbali kohistoriq ya kuifisadi Afrika mpaka kuuwa bila mpango ujio wao na mreno.
Na bila ya hao hata kujua kusoma na kuandika visingekuwepo kwa wakati huo!!
 
Yeyote anayeunga mkono mkataba wa DP WORLD na serikali ya TZ hana akili. Thinking capacity Iko chini. Reasoning is very LOW. Kama huna akili kweli kama nilivyoelezea hata hapa nilichokiandika hutakielewa.
We ndo huna akili inapaswa ukapimwe mkojo. Waonee huruma graduates hawana kazi mtaani uwekezaji ndo solution ya ajira.
 
Ni aibu kwa mtu anayejiita King kuwa muongo. Hakuna mahali Chadema na TEC walipopinga uwekezaji. Wanapinga mkataba huu wa uwekezaji ulivyo na sio dhana ya uwekezaji. Chama cha kibepari kitapingaje uwekezaji?

Amandla...
Mkataba hauna shida yoyote Ile, chadema wanapinga kila jema la serikali ili wapate political advantage wapate cha kusema Kwa wananchi.
 
Mods wapuuzi sana,mnatumia heading yangu ila content mumehamoshia Kwa mwingine
 
Na bila ya hao hata kujua kusoma na kuandika visingekuwepo kwa wakati huo!!
Ndivyo manvyojdanganya, hao wamekuja wamekuta watu wameshaanza kujenga vyuo vikuu. Soma hitoria ya jina la Dar Es Salaam kilikuwa nini.

Soma historia ya Ikulu Dar.

Huwa mnadanganyana sana.

Unajuwa neno "Alphabet" kuwa Alif Bee Tee?

mnadharau vyanzo vyenu vya elimu kwa kujazwa ujinga na kanisa, muendelee kuwa watumwa wo wa kuwapelekea fungu la kumi, kama ulikuwa huelewi.
 
Back
Top Bottom