Ninavyoelewa mimi Mamlaka ya Bandari (TPA) wanafanya Watanzania Watoto .
Mjadala kuhusu masuala ya bandari ukaingia kuhusu DP-World ambapo uwekezaji wa DP-World unahusu gati namba 0 hadi Namba 7 . Mjadala mkali ukiwa unaendelea kuhusu DP-World , Serikali kupitia TPA wakachukua advantage ya mjadala wa D-WORLD kutafuta muwekezaji wa gati No.8 hadi 11 kinyemela na bila taarifa kwa umma,sababu waliona watanzania wapo busy na mjadala wa DP-WORLD.TPA Kinyemela wakamtafuta ADANI GROUP kampuni hii ni ya kihindi chini ya familia ya Gautam Adani & Rajaeshi Adani kuendesha Gati namba 8-11 .