ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Siku zote tunapiga kelele kuwa ACT inatumika kama chandarua cha ccm.

Wamevizia vizia kuona moto unazimika vipi ili wao wajichukulie nafasi kwa kujipendekeza.

Ebu wasikilize hao kina Zitto. View attachment 2739408
Kitenge TV
Ukizungumzia ACT unamzungumzia Zito
Ukimzungumzia Zito unazungumzia MsogaLine
Ukizungumzia Msoga Line unazungumzia Pemba
 
Siku zote tunapiga kelele kuwa ACT inatumika kama chandarua cha ccm.

Wamevizia vizia kuona moto unazimika vipi ili wao wajichukulie nafasi kwa kujipendekeza.

Ebu wasikilize hao kina Zitto. View attachment 2739408
Ila huyu Maulid Kitenge ameharibu legacy yake mwishoni kabisa. Kwani angebakia kwenye michezo angepoteza nini? CCM watamtumia tu ila siku wakija kumgeuka kama Ruge asije kulialia. Shetani Hana rafiki kabisa anaangalia maslahi tu.

Na kama ni kweli ni mtu wa system basi niseme TISS Ina agents/informants wabovu sana kuliko tulivyodhani.
 
Wamesha muahidi ubunge hapa jijini dsm au pale Tanzania
 
Zito alikuwa anaonekana ni moja kati ya wanasiasa machachari sana na hazina kwa taifa. Ila saivi sijui nini kimempata.
Zitto siku zote ni mnafiki, mchumia tumbo, na pia ni mdini. Ukiona anabweka na kupiga kelele, basi utambue fika anataka tu kutupiwa mfupa wa nyama.

Na akishatupiwa huo mfupa, ananyamaza kimya! Anaweza hata kuwabwekea nyinyi mliokuwa mnamshangaa.
 
CCM huwa inakuwa karibu na wagombea wake so kabla hawajarudisha fomu chama huwa kinakagua na kujiridhisha, nyie ba-vichaaa wagombea wenu hujijazia fomu bila kufuata utaratibu!!
 
Actualy kufanya utafiti wa jambo kwa undani kisha kuja na coprehensive analiyisiss inaonyesha umakini wa kiwango ambalo na amabao unaweza kutoa picha na sura halisi ya jambo lenyewe kuliko kujibizana pasipo uelewa wa kiundani na wa kutosha juu ya suala lenyewe.

Binafsi nachelea kuwapongeza ACT kwa kuja na aina ya kipekee ya kuchambua mambo kisekta.
Lakini pia kwa walionza kwa namna nyingine nawapongeza pia na ni vema wakaendeleza spidi kuliko kugeuka nyuma na kushangaa mshindani wako anakujaje na kwa style gani.
 
CCM huwa inakuwa karibu na wagombea wake so kabla hawajarudisha fomu chama huwa kinakagua na kujiridhisha, nyie ba-vichaaa wagombea wenu hujijazia fomu bila kufuata utaratibu!!
Upuuzi mtupu, CCM ingekuwa na umakini huo nchi isingeingia kwenye mikataba ya kishenzi hivi na kuishia kulipishwa fine kila Mara.
 
Nenda kanisani TEC wanatoa majibu ya maswali yako kila Jumapili
 
Sijui nani alimharibu Zitto. Hana tena heshima hata kwenye corridors za kisiasa zaidi kila mtu anakaa nae kimachale.
 
Zitto ni mnafiki sana. Amevizia sakata limepoapoa huku wengine wakidai DP World hawaji tena ndo anajifanya kuleta maoni ya ACT. Walikuwa wapi muda wote!?, Zitto ni mnafiki na mdini sana.
Jamaa jinga sana, amesubiri kujua mwelekeo wa Rais ni upi baada ya kujua eti ndio analeta mapendekezo, abanishushia kale kaheshima kadogo kalikokuwa kamebaki ni mara 1000 angekaa kimya kama Bakwata walivyoamua kulinda heshima yao.
 
Sijui nani alimharibu Zitto. Hana tena heshima hata kwenye corridors za kisiasa zaidi kila mtu anakaa nae kimachale.
Hana tofauti na Lipumbz kwa sasa, usaliti mbaya utakutafuna mpaka milele.
 
Zitto ni mnafiki sana. Amevizia sakata limepoapoa huku wengine wakidai DP World hawaji tena ndo anajifanya kuleta maoni ya ACT. Walikuwa wapi muda wote!?, Zitto ni mnafiki na mdini sana.
Does it matter..?

Nakupa ushauri huu👇👇

Jadili hoja na msimamo wao (ACT Wazalendo). Achana na tabia ya kushambulia personality ya mtu (Zitto) badala ya hoja yake..

Iwe wamechelewa ama wamewahi, what is important ni kuwa wametoa msimamo wao...

Na kumbuka hili: Mjadala wa mkataba wa bandari wala hata haujapoa wala kwisha. Ndo uko fire kuliko unavyodhani...

Ishu ya mkataba wa bandari haiwezi kwisha hivihivi. Hii itakwisha na kuondoka na CCM na serikali yake..

Kuhusu tamko la ACT WAZALENDO

ACT WAZALENDO hawajatofautiana na wengine wote tunaokosoa mkataba huu..

Tofauti ya tamko lao (ACT WAZALENDO) na vyama vingine vya siasa hususani CHADEMA, taasisi zingine kama TEC, TLS nk ni;

1. Wametumia lugha ya kidiplomasia na ya "staha" kupita kiasi kwa wezi na mafisadi hawa wa CCM..

2. Wamekwepa kuyatolea maoni maeneo nyeti hususani Kwa IGA hii kuhusisha bandari za Tanganyika tu huku za Zanzibar zikiachwa..

However;

Basically, ACT Wazalendo HAWAKUBALIANI NA MKATABA WA BANDARI ila WANAUNGA MKONO UWEKEZAJI wowote wenye tija kwa mikataba iliyo ya manufaa kwa nchi na kamwe sio huu...

That's for today...
 
Nakazia kuwa zzk ni zaidi ya msaliti wa siasa za upinzani hapa nchini
 
Nakazia kuwa zzk ni zaidi ya msaliti wa siasa za upinzani hapa nchini
Kila mtu ni msaliti au amewahi kuwa ktk hili au lile katika maisha yake..!

Muhimu kuelewa ni kuwa kila siku ni mpya na usiishi leo kwa kuiangalia na kuikumbuka jana..!

Toa maoni yako juu ya hoja za kina Zitto Kabwe na ACT Wazalendo yake..!

Wewe unauonaje uchambuzi wao?
 
Slaa ni zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…