King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Wala haina sababu za kudanganya coz ina uhakika mkataba hauna shida!!Kwa hiyo serikali inasema uongo kama wewe?
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala haina sababu za kudanganya coz ina uhakika mkataba hauna shida!!Kwa hiyo serikali inasema uongo kama wewe?
Amandla...
Peleka ujinga mbali, kwamba huwa hatuoni ule ukhanithi unaoendelea wakati wa uchaguzi? Ile kuwaengua wagombea wa upinzani ili wa CCM wapite bila kupingwa nayo ni watu kutokupiga kura? Yale mabox yanayoletwa yakiwa na kura za CCM nayo ni watu kutokupiga kura?Chadema nyie mmejaa wapiga kelele ukifika uchaguzi hamuendi kupiga Kura mwisho wa siku ni kuzusha mnaibiwa Kura!!
Tunataka majibu ya hoja....
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
pale zezeta linapisifiwa na zezeta lenzake.Hawa wanajielewa na wanasema ukweli 100%.
makuwadi ya dpworld.Ndo anakuja DP world mwenye CV zilizoshiba!!
makuwadi ya warabu mmeleta maendeleo gan mbali na kuwa vibaraka wa warabu koko dpworld.Hizo ni hisia zenu wapinga maendeleo ule muswaada haukupelekwa kwa ajili ya DP world
Halafu aliyepost ni yule kuwadi wa DPWSiku zote tunapiga kelele kuwa ACT inatumika kama chandarua cha ccm.
Wamevizia vizia kuona moto unazimika vipi ili wao wajichukulie nafasi kwa kujipendekeza.
Ebu wasikilize hao kina Zitto. View attachment 2739408
Upo sahihi snMpumbafu na mjinga ndio atakaye weza kua mwanachama wa chama cha zito,makuwadi wa kijani.
Hili ni shina la CCMAjabu wapo wajinga wanadanganyika na hicho chama cha hovyo kabisa.
Hawa majamaa hata aibu hawanaMpumbafu na mjinga ndio atakaye weza kua mwanachama wa chama cha zito,makuwadi wa kijani.
Njaa imempanda kichwani baada ya kununuliwa na ccmZito alikuwa anaonekana ni moja kati ya wanasiasa machachari sana na hazina kwa taifa. Ila saivi sijui nini kimempata.
Nimecheka sana