guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Maji ya shingo...ahahahHabari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?
hyu sie yule aliesema niguse ninuke, hivi majuzi nimemsikia tena akisema hatorudi nyuma wala hatajitoa kwenye ligiHabari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?
hana pesa,hana watu,kampeni sio lelemamaLakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
Membe ni kachero mbobezi. Kuna mitego anaenda kuitegua huko nje ili John anaswe.Ndio najiuliza Membe kamkimbia nani mbona CCM na Chadema wote wanashangilia?
πππππππJasusi huyu anajipanga vizuri na kwa umakini mkubwa sana,tusubiri tu tuone atakavyowagaragaza ccm
Hiyo ndio pointi ya muhimu. Vijana wa Chadema ni mabingwa wa uongo.Japokuwa ana hali ngumu kisiasa kupambana na Ccm. Lakini ni vyema ukathibitisha kama hizi picha ni za leo au jana.
Atakapo anza kunuka?Jasusi huyu anajipanga vizuri na kwa umakini mkubwa sana,tusubiri tu tuone atakavyowagaragaza ccm
Hivi kuunga mkono kunasababishwa na muungaji au muungwaji ?Tusikubali kabisa Membe kumuunga mkono Lisu ni hatari kubwa. Huko ACT mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na Wapemba wenzake. Lakini hawa wakina Zito ni kukaa nao kwa akili.
Ila wabongo wana mamidimo aiseee, they talk about anything anything aisee.Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?
Unaweza ukawa sahihiKuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni, na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.
Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.