ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
 
Umewaza mbali sn... Maswali yako yanahitaji majibu.....

Lkn ukizingatia alivolimaliza swala lake la kudukuliwa mawasiliano bila kuchukua hatua zozote za kisheria sioni bwana yule akihangaika na hizi picha.....
Labda ndo ukachero wenyewe wapo kazini wanajaribu kudivert attention ya watu🙄🙄
 
Usijidanganye, Membe ana uwezo wa kugawa kura kama ACT ikiamua kupiga kampeni kwelikweli.

Membe alichokifanya so far ni kutofanya kampeni kwenye mikoa aliyokwenda Lissu
 
Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
Hahahaaaa...... Tena alishasema kampeni anaanza 15/09//2020
 
Simu hizo mkuu .watakuwa abiria hao.Simu zimebadili kila kitu
 
Wadukuzi kazini lakini nyuma yao kuna sauti kubwa zaidi isiyosikika
 
Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
Na je kwani hawezi kusafiri internally?
 
Simu hizo mkuu .watakuwa abiria hao.Simu zimebadili kila kitu

Ile picha ya pili HAPANA NAKATAA, sidhani kama ni simu ya kwaida. Tazama kwa umakini Camera iko kwa juu na mheshimiwa anatembea kwa chini akiwa ameinua kichwa. Sidhani kama alijua kwamba anapigwa picha.
 
Public figure kwani kwenye kampeni wanaombwa kupigwa picha?
 
Ccm wanashangilia lengo lao limetimia kwa MTU wao
 
Nyie subirini tu mtaona mambo ccm lazima ipigwe kila kona.
Ndiyo Maana CHADEMA iligoma Kuungana Na ACT
Membe Haaminiki
Watanzania kaeni chonjo.
Ngoja tusubiri kauli ya "kiongozi mkuu" zzk
Japokuwa ana hali ngumu kisiasa kupambana na Ccm. Lakini ni vyema ukathibitisha kama hizi picha ni za leo au jana.
 
Kweli hapo panafikirisha

Picha kama ni za CCTV zimetokaje na kwanini. Afu kiongozi wa chama anazitafsir picha , kwa maana ni dhahiri walilipanga hili.

Nawapongeza mliofanikisha kuikwepa hii plan B ya hasimu
 
Hoja yako ni nini hapa boss?
 
Jasusi mbobezi....
Lkn Lissu alisema yy sio mjinga na chama chake sio wajinga..... Nilimwelewa sana....

Kimsingi act mpinzani wa kweli ni Maalim Seif tu...... Hao wengine wana ndimi mbili mbili
Hata Maalim Seif kaingia cha kike... ungekuta yupo CHADEMA mambo yangekuwa tofauti sana.. sasa imagine Membe angetakiwa sasahivi ampiganie Seif kule Zanzibar,lakini ndo huyo amesepa zake
 
ACT ndo sio wapinzani..
 
Ile picha ya pili HAPANA NAKATAA, sidhani kama ni simu ya kwaida. Tazama kwa umakini Camera iko kwa juu na mheshimiwa anatembea kwa chini akiwa ameinua kichwa. Sidhani kama alijua kwamba anapigwa picha.
Kampiga mtu aliye hii kwenye ngazi ingine kapigwa na aliye nyuma yake
 
Usijidanganye, Membe ana uwezo wa kugawa kura kama ACT ikiamua kupiga kampeni kwelikweli.

Membe alichokifanya so far ni kutofanya kampeni kwenye mikoa aliyokwenda Lissu

Mkuu hakatazwi, kwani atagawa za wapinzani tu, au yeye uwezo wake ni kupata kura za wapinzani tu, ila za ccm hawezi kuzigawa? Ni hivi, hana mvuto kwa wapiga kura, na hilo halikuanza sasa ila ni toka akiwa ccm. Hao ndio wale wanaccm walikuwa wanapitishwa kwa mizengwe. Ni kweli anaweza kugawa kura za wapinzani, ila ni kwa mikoa hiyo michache ya kusini.
 
Atakuwa ameshindwa kuelewana na Zitto
Zitto alimuonea mama Mgwira
Lakini kwa Membe hao ni mafahali wawili hawakai zizi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…