HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Alisema ndoto haifialisema yeye ni kachero na kachero hastaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema ndoto haifialisema yeye ni kachero na kachero hastaafu
Hahahaaa...... AmechinaHata Maalim Seif kaingia cha kike... ungekuta yupo CHADEMA mambo yangekuwa tofauti sana.. sasa imagine Membe angetakiwa sasahivi ampiganie Seif kule Zanzibar,lakini ndo huyo amesepa zake
Hahaahaa
Simu hizo mkuu .watakuwa abiria hao.Simu zimebadili kila kitu
Kwani anawambia kuwa ana passport nyingine ?Kina Mo Dewji na wahindi kibao wana passport za nchi zingine kujumlisha na ile ya Tanzania.Duh,ukiwa na passport ya nchi nyingne unaruhusiwa kugombea?
Wanae wacanadanian. Ndo maana.ndio maana anapigia chapuo uraia pacha ?
Membe kama mgombea uraisi katuangusha,japo kasema tarehe 15 utakuwa muziki mzito wa vyombo vya ala .Kuna mahala nimemsikia akijiapiza kwamba hatajitoa ng'o, yeye ni mbele kwa mbele...
Kaka mkubwa kampa stop.Labda hasira, ndio kaamua kwenda ughaibuni.Kuonekana kwa mgombea urais wa JMT mh Membe JNIA akikwea pipa kuelekea kusikojulikana kumezua sintofahamu ikiwemo furaha kubwa kwa makamanda wa Chadema na makada wa CCM.
Hadi sasa ACT wazalendo hawajatoa taarifa yoyote kuhusu taarifa za safari ya Membe zilizoenea mitandaoni.
Ndio najiuliza Membe kamkimbia nani mbona CCM na Chadema wote wanashangilia.
Maendeleo hayana vyama!
Kaa mkao wa kula.Hahahaaaa...... Tena alishasema kampeni anaanza 15/09//2020
Membe kama mgombea uraisi katuangusha,japo kasema tarehe 15 utakuwa muziki mzito wa vyombo vya ala .
Zitto labda amemkorofisha japo sina uhakika.
Hakuna cha Chadema wala ACT wote walewaleNdiyo Maana CHADEMA iligoma Kuungana Na ACT
Membe Haaminiki
Kawa poteza CCM maboya jamaa mjanja sanaUsijidanganye, Membe ana uwezo wa kugawa kura kama ACT ikiamua kupiga kampeni kwelikweli.
Membe alichokifanya so far ni kutofanya kampeni kwenye mikoa aliyokwenda Lissu
Kweli hapo panafikirisha
Picha kama ni za CCTV zimetokaje na kwanini. Afu kiongozi wa chama anazitafsir picha , kwa maana ni dhahiri walilipanga hili.
Nawapongeza mliofanikisha kuikwepa hii plan B ya hasimu
Nikosa kubwa sana kumuamini kachero.