ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Kama umeenda uwanja mpya, hakuna ghorofa kwa juu ambalo unaweza kumuona mtu wa chini kama hiyo picha ya pili, that's means ni cctv camera
Wewe ni mgeni hapo uwanjani. Hao ni departure ya Term 3.
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

==
Picha zaidi:
View attachment 1566534
Ameenda kukutana na Mabingwa wa Ukachero CIA na mossad na M16 wampe mbinu za kumnutralize stone apotee zake
 
Kuna tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Membe ametoroka na kukimbilia nje. Je, yule mropokaji wa Kigoma yupo tayari kuweka habari kamili?
 
Kuna tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Membe ametoroka na kukimbilia nje. Je, yule mropokaji wa Kigoma yupo tayari kuweka habari kamili?

Bashiru ndiye tetesi siku hizi? Yuko hapa ITV na Farhia anatupiga sound tu. Siku hizi na yeye kashachanganyikiwa.
 
Kuna tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Membe ametoroka na kukimbilia nje. Je, yule mropokaji wa Kigoma yupo tayari kuweka habari kamili?

Bashiru ndiye tetesi siku hizi? Yuko hapa ITV na Farhia anatupiga sound tu. Siku hizi na yeye kashachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom