ACT WAZALENDO kuwa chama kikuu cha upinzani kitakuwa mshindi wa pili kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2025

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.

ACT Kura 528
CCM Kura 417

Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga.

#VijijiVyaWote #MitaaYaWote #MaslahiYaWote

Chama cha ACTwazalendo kimeshinda Mtaa wa Buswelu ulioko Kata ya Buswelu Jimbo la Ilemela Mwanza.

ACT Wazalendo 350✔️
CHADEMA 3
CCM 315

Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Ligunga kilichopo kwenye Kata ya Lusewa Jimbo la Namtumbo.

Jina : Mohamedi Ndauka
Umri : 35
Jimbo: Namtumbo
Kata : Lusewa
Kijiji: Ligunga
Kura :521
ACT: 320
CCM: 201
 
chama kikuu hakiji kwa kupewa ushindi.. ukuu wa chama upo mioyoni mwa watu
 
Back
Top Bottom