ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa @ChademaTz juu ya mwelekeo wa kisiasa wa nchi yetu. Tumekubaliana kuwa kwa dhamana yetu ya watendaji wakuu wa vyama vyetu, tukutane tarehe 5 Septemba Makao Makuu ya Chadema kutafakari hali hiyo, kushauriana hatua za kuchukua kwa pamoja kukabiliana na wimbi la vitendo vya uvunjifu wa misingi ya demokrasia na haki za binadamu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuvishauri vyama vyetu."

Pia Soma
- Wito kwa ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa pingeni manyanyaso wanayofanyiwa CHADEMA

1725092573651.png
 
Hiyo inaitwa Mbwa kala Mbwa 🐼

Dr Nchimbi anawasubiri hapo UDSM saa 3 Usiku Leo 😄
 
CHADEMA wamakinike pakubwa na hicho chama maana kimevaa kinyago
Strategic Party to destroy the real opposition Party.. it was established to destroy CUF, It has done the task successful in Zanzibar 2015 and 2020... Ccm has been doing this for almost half a century. They know how to erase the opposition Party and rising the new puppet one..ACT is the one.
 
CHADEMA is there to stay.. Watajaribu sana kukiangamiza lakini hawataweza maana CDM ni akili kubwa .. Simply CHADEMA is above next level
 
Chadema ilishakaaa kwenye mioyo ya watu kama UKATOLIKI
CHADEMA wamakinike pakubwa na hicho chama maana kimevaa kinyago

CHADEMA is there to stay.. Watajaribu sana kukiangamiza lakini hawataweza maana CDM ni akili kubwa .. Simply CHADEMA is above next level
 
CHADEMA wamakinike pakubwa na hicho chama maana kimevaa kinyago

CHADEMA is there to stay.. Watajaribu sana kukiangamiza lakini hawataweza maana CDM ni akili kubwa .. Simply CHADEMA is above next level

chadema, act, cuf, ccm wanaungana na ccm against ccm lkn wameshachelewa train ilishaondoka tayari …
 
Dr. Nchimbi akikimbia mdahalo hapo UDSM atakuwa kawakosea sana wanachama wa CCM.
 
Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wasituongopee hawa wanakutana kupimana nani zaidi wasome upepo wa uchaguzi
 
Back
Top Bottom