BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa @ChademaTz juu ya mwelekeo wa kisiasa wa nchi yetu. Tumekubaliana kuwa kwa dhamana yetu ya watendaji wakuu wa vyama vyetu, tukutane tarehe 5 Septemba Makao Makuu ya Chadema kutafakari hali hiyo, kushauriana hatua za kuchukua kwa pamoja kukabiliana na wimbi la vitendo vya uvunjifu wa misingi ya demokrasia na haki za binadamu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuvishauri vyama vyetu."
Pia Soma
- Wito kwa ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa pingeni manyanyaso wanayofanyiwa CHADEMA