Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Maalim kajisahau na yeye kuwa anagombea Zenji au kaweka mpira kwapani tayari? Vp mgombea wa Chama Chake The. Benad
 
Aziza binti yangu, nisikilize

Nakushauri jikite kwa mpalange
Yani wewe kama kusoma tu Jina Azizi umeshindwa na kutofautisha kati ya Azizi na Aziza umeshindwa, kweli mtaweza kuisoma mikataba yenye maslahi ya nchi, ama kweli upinzani uwezo wa kuiongoza Tanzania hamna.
 
LISSU hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania. Watu waliolewa amani tu ndo wanaweza kumchagua.
 
Jiwe anaonekana dhahiri somo la uraia lilimpita pembeni.. haelewi kabisa suala zima la ‘Urais ni nini’? Yani kiuwazi kabisa anafikiri kuwa Rais ni kuwa mtoa amri hovyo hovyo tena kiudhalilishaji, kuwa mtu aliyekunja kunja sura saa zote na kuswagaswaga watumishi wake, kuumbua au kusemesha viongozi wengine hovyo mbele za kadamnasi, wananchi kuwatisha huku amenyanyua kidevu kile! Kichwa kile kinashida mno mno.

#KuraKwaLissuKulaKwaJiwe
 


 
LISSU hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania. Watu waliolewa amani tu ndo wanaweza kumchagua.
Goliath alivyomuona Daud alimuona hawezi kupambana hata na unyoya wa mguu wake matokeo yake alipigwa na kijana mdogo ambae hakuna alieamni kilichotokea, Na wewe unaelindwa na mitutu na mwenye uwezo wa kifedha usimchukulie Lissu kama mtu dhaifu Lissu atakuangusha na hutaamini Ni yeye

Atayeiba kura ya Lissu tutamfilimba mchana kweupeeeee
 

MAGUFULI anamzidi LISSU mara mamilioni (millions times).
 

Inyeshe mvua, liwake jua, Rais ni MAGUFULI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…