Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

jamaa yako aliwatosa na kuwadharau wale waliokuwa wapanga mikakati ya wizi wa kura.. akawanyang'anya chama akawadhihaki, akawatukana, akawatenga wakati wao ndo walimpigia kampeni mpaka wakavunjikia huko na mikono, wakakesha kwenye vyumba huko kubadili matokeo ya kura lakin baada ya jamaa kuapishwa akawatenga kama wakoma, chama akakikabidhi kwa kina sloo sloo wasiokijua chama, akawachukua na wale wale wapinzani akawalundikia vyeo kwa nguvu huku kina februari maropu kinana na napi wakafanywa vidampa.

ccm asilia hawatampa kura hata moja jamaa yako bali atapata tukura tuchache twa ccm mpya(ambayo kimsingi ni "ccm isiyo ccm"), kura za ccm asilia zote ni kwa tundu lisu..ccm asilia wanajua na wameshaamua ni kheri usu shari kuliko shari kamili...kuliko kumpa jamaa miaka mitano tena ya kuwanyamyasa ni heri tu nchi akabidhiwe Lisu ufunguliwe ukurasa mpya...bushiru hata akitishia nyau haisaidii kwanza haijui ccm huyo na ccm si yake, yeye ni wakuja tu ndani ya chama..

na wanachokifanya CCM Asilia wala si cha ajabu, wao kama wenye CCM Asili wanatunza heshima ya chama na kutimiza maono ya muasisi wa chama kuwa Upinzani wa kweli utatoka Ndani ya CCM na kuwa CCM si baba yangu wala si mama yangu...by JK Nyerere.
Good article! well articulated
 
MAGUFULI atashinda mchana kweupee. Nchi haiwezi kuongozwa na vibaraka. Tutamlinda na kumpigania MAGUFULI hadi kieleweke.
Vijana tupo Lissu, hazitushughulishi hizi lugha za Wazee waliochoka na maisha baada ya kunyimwa elimu, ajira, health care etc, sasa mnaishia kupiga kofi kwa buku5, t-shirt na kofia ya kijani.
 
"Kumurahisishia"= kumrahisishia. Kwa hii lugha unaonesha ccm ina aina gani ya watu
Ukiona mtu unayemshuku kuwa ni Mzima, lakini kila unaloongea anarudia na kusahihisha kila neno Kuna majibu unayapata kuwa ni mtu ambaye Kuna baadhi ya vitu kapungukiwa, Upinzani ukiwauliza wanachokipinga hakuna anayejua anachokipinga.
 
Vijana tupo Lissu, hazitushughulishi hizi lugha za Wazee waliochoka na maisha baada ya kunyimwa elimu, ajira, health care etc, sasa mnaishia kupiga kofi kwa buku5, t-shirt na kofia ya kijani.

Go east or west, north or south, next President of United Republic of Tanzania is Dr John Pombe MAGUFULI.
 
Yaani Nyumbu kwa kufarijiana wako vizuri, yaani mtu na akikili zake anawaza kabisa kwamba Lissu atakuwa Rais.
Dogo 75% ya wanaccm hawakufurahishwa na alichofanyiwa membe, kinana makamba.

Kama una akili utanielewa
 
Uzuri ni kwamba ccm inaweza kupiga na chadema wakacheza kulingana na mdundo unavyopigwa!

Kabla ACT hawajamuunga mkono Lisu mashabiki wa chadema wakikuwa wanasema Membe ni mamaluki. Sasa hivi wanasema ni shujaa na mwanamikakati imaranya kuitoa ccm.

Kwa mwenye akili unaweza kuona ni jinsi gani ccm inaweza kuwachezea wapinzani ipendavyo
Kwa machizi ndio wanaoweza kuhusisha mkakati huu na CCM
 
JP Magufuli hatoachia urais kupitia sanduku la kura. Hivyo hivyo Zanzibar. Maalim Seif hatopewa urais.

Humu jamvini tunajifariji tu. Mwaka 1995 na 2015 bila shaka Wapinzani walishinda (Mrema & Lowassa) lakini hawakupewa Nchi. Maalim anashinda kila uchaguzi. Kwa wenye kumbukumbu kiduchu tu wanakumbuka walichofanya jeshi/TISS mwaka 2015 pale Zenji.... mchana kweupe!

Hii comment ntairudia early November 2020 baada ya NEC & ZEC kufanya yao
...kumbuka Moto wa 2020 sio wa nyasi kama 2015 pia tundu lissu sio goigoi kama lowasa amini nakwambia mwaka huu utaziona nyeti za kuku mchana kweupe kama wakileta mazoea ya ya iyo miaka ulioitaja
 
Back
Top Bottom