Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Good article! well articulated
 
MAGUFULI atashinda mchana kweupee. Nchi haiwezi kuongozwa na vibaraka. Tutamlinda na kumpigania MAGUFULI hadi kieleweke.
Vijana tupo Lissu, hazitushughulishi hizi lugha za Wazee waliochoka na maisha baada ya kunyimwa elimu, ajira, health care etc, sasa mnaishia kupiga kofi kwa buku5, t-shirt na kofia ya kijani.
 
"Kumurahisishia"= kumrahisishia. Kwa hii lugha unaonesha ccm ina aina gani ya watu
Ukiona mtu unayemshuku kuwa ni Mzima, lakini kila unaloongea anarudia na kusahihisha kila neno Kuna majibu unayapata kuwa ni mtu ambaye Kuna baadhi ya vitu kapungukiwa, Upinzani ukiwauliza wanachokipinga hakuna anayejua anachokipinga.
 
Vijana tupo Lissu, hazitushughulishi hizi lugha za Wazee waliochoka na maisha baada ya kunyimwa elimu, ajira, health care etc, sasa mnaishia kupiga kofi kwa buku5, t-shirt na kofia ya kijani.

Go east or west, north or south, next President of United Republic of Tanzania is Dr John Pombe MAGUFULI.
 
Yaani Nyumbu kwa kufarijiana wako vizuri, yaani mtu na akikili zake anawaza kabisa kwamba Lissu atakuwa Rais.
Dogo 75% ya wanaccm hawakufurahishwa na alichofanyiwa membe, kinana makamba.

Kama una akili utanielewa
 
Kwa machizi ndio wanaoweza kuhusisha mkakati huu na CCM
 
...kumbuka Moto wa 2020 sio wa nyasi kama 2015 pia tundu lissu sio goigoi kama lowasa amini nakwambia mwaka huu utaziona nyeti za kuku mchana kweupe kama wakileta mazoea ya ya iyo miaka ulioitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…