ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

Serikali mara ngapi imesema tena via PM kwamba wakati wa kusaini makubaliano ya utekelezwaji wa Mkataba watazingatia maoni na Wasiwasi wa wadau
Nimekwambia weka nukuu kuhusu upitiwaji upya wa kile kilichopitishwa bungeni (ingawa kilikuwa tayari kimeshasainiwa)
 
Kajifunzeni dhana ya Opposition kama hata maana ya Constructive criticism huijui
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
 
CHADEMA ni wahuni tu wanafurahisha watu wenye stress zao. Watu wameshindwa kujenga hata kaofisi yao wamepanga nyumba ambayo hata mtu anayejipenda hawezi kupangisha. Ile nyumba ni aibu kuiita makao makuu ya CHADEMA. Hakuna kitu pale wale ni wehu flani tu wanaotafuta namna ya kupata mlo wao. hATA WAO WANAJUA HAWATAKAA WASHIKE DOLA.
 
Uliambiwa chadema ni tawi la ccm kama ilivyo act na sio kazi yao wapinzania kuishauri ccm ili ifanye vzr ikifanya vzr ninyi mtakuwa na kazi gani ikiwa lengo la vyama kwenda ikulu kazi ya kusifia na kushauri ni ya maccm na taasisi zao kama act umoja wa vijana uwt wazazi nk sio kazi ya wapinzani wanaojitambua
 
Hata siku moja haitakuja kutokea chama chochote cha kaskazini kikashika dola
Ingawa sipendi ukanda, ila kiukweli si rahisi mchaga kushika madaraka ya urais, kwanza hakuna hata mwenye huo mwelekeo. Mchaga hawezi uongozi, wanachoweza ni biashara za magendo, uwizi, ukwepaji mkubwa wa kodi, ushirikina, ukabila, ni wabinafsi sana, wataifanya nchi km kampuni yao. Chukulia mifano ya taasisi zilizoongowa na wachaga, wapi NCCR-Mageuzi, wapi TLP, angalia CHADEMA ilikofikia, MWENYEKITI tangia mwaka 2000 huyo huyo, na kinaelekea kuzimu.
 
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
umejulia wapi, acha hizo we mtoto wa kiume
 
Hawa jamaa sijui wanavutaga bangi kisha ndo wanapanda jukwaan. Au chuki binafs na chama tawala. Au ndo bifu la kutengeneza
 
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao
Lilifanyiwa kazi au mkataba umesainiwa kama ulivyoandaliwa na waarabu? Mimi najua bunge lilishapitisha tena baada ya kuwa umeshasainiwa. Hakuna mapendekezo mapya yatakayoingizwa maana tayari wakuu wameshasaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…