Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Wewe ni mpumbavu sana
Hata siku moja haitakuja kutokea chama chochote cha kaskazini kikashika dola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavu sana
Nimekwambia weka nukuu kuhusu upitiwaji upya wa kile kilichopitishwa bungeni (ingawa kilikuwa tayari kimeshasainiwa)Serikali mara ngapi imesema tena via PM kwamba wakati wa kusaini makubaliano ya utekelezwaji wa Mkataba watazingatia maoni na Wasiwasi wa wadau
Heri kuongozwa na waarabu wa DubaiChadema hakuna chama pale, ni heri kujiongoza wenyewe kuliko kuongozwa na chadema
Heri kuongozwa na waarabu wa Dubai
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchiKajifunzeni dhana ya Opposition kama hata maana ya Constructive criticism huijui
SAWAHata siku moja haitakuja kutokea chama chochote cha kaskazini kikashika dola
Hakikuhusu! Utakua umetumia mzani mbovuSijafikia kiwango Cha upumbavu wako
SAWA
Wewe ni nyumbu tuuHakikuhusu! Utakua umetumia mzani mbovu
Hakuna Cha umoja wa Kitaifa ndio Chadema Huwa Iko hivyoUnaongelea katika serikali ya umoja wa kitaifa
CHADEMA ni wahuni tu wanafurahisha watu wenye stress zao. Watu wameshindwa kujenga hata kaofisi yao wamepanga nyumba ambayo hata mtu anayejipenda hawezi kupangisha. Ile nyumba ni aibu kuiita makao makuu ya CHADEMA. Hakuna kitu pale wale ni wehu flani tu wanaotafuta namna ya kupata mlo wao. hATA WAO WANAJUA HAWATAKAA WASHIKE DOLA.Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?
CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂
Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.
In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.
The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually. The Citizen
My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.
CHADEMA kukesha majukwaani kuwasimulia wanananchi Changamoto bila kuwa na mpango kazi wa majibu ni dharau kwa Raia
CHADEMA kutwa kucha wanazunguka huko na huko na kufanya mikutano ya hadhara waliyobatiza Majina ya oparesheni okoa Bandari nk. Ila Sasa cha kushangaza kwenye hiyo mikutano Yao wanachofanya ni -Kusema ccm imeshindwa -Kutukana viongozi waliopo, wafu na Watumishi wa Umma -Kusimulia mifano ya Nchi...www.jamiiforums.com
Ingawa sipendi ukanda, ila kiukweli si rahisi mchaga kushika madaraka ya urais, kwanza hakuna hata mwenye huo mwelekeo. Mchaga hawezi uongozi, wanachoweza ni biashara za magendo, uwizi, ukwepaji mkubwa wa kodi, ushirikina, ukabila, ni wabinafsi sana, wataifanya nchi km kampuni yao. Chukulia mifano ya taasisi zilizoongowa na wachaga, wapi NCCR-Mageuzi, wapi TLP, angalia CHADEMA ilikofikia, MWENYEKITI tangia mwaka 2000 huyo huyo, na kinaelekea kuzimu.Hata siku moja haitakuja kutokea chama chochote cha kaskazini kikashika dola
umejulia wapi, acha hizo we mtoto wa kiumemimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
Wewe ni nyumbu tuu
Lilifanyiwa kazi au mkataba umesainiwa kama ulivyoandaliwa na waarabu? Mimi najua bunge lilishapitisha tena baada ya kuwa umeshasainiwa. Hakuna mapendekezo mapya yatakayoingizwa maana tayari wakuu wameshasainiHata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao
ccm yamejaa mapumbavu yanayohonga bandari kisa yamepewa rushwa.Huu ujinga wameuanzisha Machadema
chama cha waislamu wa zanzibar wataishia huko huko wajinga hao.Nawakubali sana ACT