ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

Serikali mara ngapi imesema tena via PM kwamba wakati wa kusaini makubaliano ya utekelezwaji wa Mkataba watazingatia maoni na Wasiwasi wa wadau
Nimekwambia weka nukuu kuhusu upitiwaji upya wa kile kilichopitishwa bungeni (ingawa kilikuwa tayari kimeshasainiwa)
 
Kajifunzeni dhana ya Opposition kama hata maana ya Constructive criticism huijui
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
 
Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?

CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.

Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂

Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.

In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.

The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually.
The Citizen

My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.

CHADEMA ni wahuni tu wanafurahisha watu wenye stress zao. Watu wameshindwa kujenga hata kaofisi yao wamepanga nyumba ambayo hata mtu anayejipenda hawezi kupangisha. Ile nyumba ni aibu kuiita makao makuu ya CHADEMA. Hakuna kitu pale wale ni wehu flani tu wanaotafuta namna ya kupata mlo wao. hATA WAO WANAJUA HAWATAKAA WASHIKE DOLA.
 
Uliambiwa chadema ni tawi la ccm kama ilivyo act na sio kazi yao wapinzania kuishauri ccm ili ifanye vzr ikifanya vzr ninyi mtakuwa na kazi gani ikiwa lengo la vyama kwenda ikulu kazi ya kusifia na kushauri ni ya maccm na taasisi zao kama act umoja wa vijana uwt wazazi nk sio kazi ya wapinzani wanaojitambua
 
Hata siku moja haitakuja kutokea chama chochote cha kaskazini kikashika dola
Ingawa sipendi ukanda, ila kiukweli si rahisi mchaga kushika madaraka ya urais, kwanza hakuna hata mwenye huo mwelekeo. Mchaga hawezi uongozi, wanachoweza ni biashara za magendo, uwizi, ukwepaji mkubwa wa kodi, ushirikina, ukabila, ni wabinafsi sana, wataifanya nchi km kampuni yao. Chukulia mifano ya taasisi zilizoongowa na wachaga, wapi NCCR-Mageuzi, wapi TLP, angalia CHADEMA ilikofikia, MWENYEKITI tangia mwaka 2000 huyo huyo, na kinaelekea kuzimu.
 
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
umejulia wapi, acha hizo we mtoto wa kiume
 
Wewe ni nyumbu tuu
JamiiForums1389173211.jpg
 
Hawa jamaa sijui wanavutaga bangi kisha ndo wanapanda jukwaan. Au chuki binafs na chama tawala. Au ndo bifu la kutengeneza
 
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao
Lilifanyiwa kazi au mkataba umesainiwa kama ulivyoandaliwa na waarabu? Mimi najua bunge lilishapitisha tena baada ya kuwa umeshasainiwa. Hakuna mapendekezo mapya yatakayoingizwa maana tayari wakuu wameshasaini
 
Back
Top Bottom