ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

achana na huyo mpumbavu wa makuwadi ya warabu ya dpworld.
 
Uko sahihi kwa CDM kukosa ofisi, hata hivyo CCM hawana lolote la kujisifia maana wanamiliki majengo ya urithi. Pale mwenye nyumba ya urithi anapomkeli asiye na nyumba.
 
Kwahiyo ACT ni chsma cha kushauri watawala, washauri wa rais wafanye kazi gani sasa
Chadema hawaelewi maana ya upinzani ni nini

Upinzani ni kuwa na mawazo mbadala ya ku solve issue ile yenye changamoto

Chadema hawana mawazo mbadala wao ni kusubiri CCM ichemke wao wapinge wajinga sana

Ndio.maans hawana sera zao zinazoeleweka kwa wananchi

Chadema kukiita chama cha upinzani sio sahihi.ACT ni sahihi sababu kinakuwa na mawazo mbadala ya nini cha kufanya kupata solution ya kutatua tatizo kuliko.mawazo ya chama tawala
 
ukiona zitto kabwe kachangia mada yoyote yenye kukosoa serikali , jua kuwa hiyo kitu imejadiliwa na zitto na TISS , jua ni sehemu ya spinning ya ccm, zitto hawawezi kumchafua MAKAMBA
Heri kuongozwa na waarabu wa Dubai
Na mtakoma mamaeee naona sindano za uso za Chadema zimeingia uzuri mpka mnawapangia sasa cha kushauri.
Ninyi mlivyo honga bandari za Tanganyika kwa wajomba zenu mlishauriana na Chadema?
 
Chadema wajinga sana, Ndo maana ACT ina wanachama wengi baada ya CCM - wacha wote tuwe vichaa kama wewe
 
Hiyo nayo si miisiramu tu. petololi watatuletea wazungu.
 
Sawa nakubaliana na wewe lakini kwa starting moja ambalo ni la kunionyesha kipengele cha majukumu ya chama cha upinzani dhidi ya serikali.
 
Kwa hiyo ACT ni wapinzani wazuri?.
 
Hiyo nayo si miisiramu tu. petololi watatuletea wazungu.
Kumbe shida ni udini πŸ˜‚πŸ˜‚

Upunguani wenu wa kushinda kanisani inafaida gani Kwa Nchi? Yaani wewe kukemea mapepo Mimi najufaikaje?
 
Kumbe shida ni udini πŸ˜‚πŸ˜‚

Upunguani wenu wa kushinda kanisani inafaida gani Kwa Nchi? Yaani wewe kukemea mapepo Mimi najufaikaje?
Nyiny waisiramu ndio mipepo yenyewe, mipesa yote miisiramu, sasa na banadali zote za tanzania ziwe za miisiramu? hatutaki.

Kanisa retu rina wasomi, tunaweza kuendesha, tuna msomi wetu Anna Tibaijuka apewe bandali muone kama hajaiendesha.

cc Mama Amon
Anna Tibaijuka
 
Uhaba wa mafuta muusababishe nyinyi, halafu uwalaumu chadema kwa kusema kuwa kuna uhaba wa mafuta? Hizi ni akili matope.
Chadema siyo sehemu ya serikali, ni chama cha upinzani; ACT ni sehemu ya serikali kule kwao, kwa hiyo ni sawa kabisa kutoa mawazo ya kuondoa tatizo.
 
Zito sio mpinzani.
Siasa za upinzani lazima kupinga Ili rival wako ashindwe Ili wewe unayepinga utawale.Ndo siasa
 
Ukiona chama Cha upinzani kinasifiwa na CCM shtuka haraka.
 
CCM wanaitambua Chadema kama wapinzani halisi....
 
Chama Cha upinzani ni kimoja tu CHADEMA wengine wasaka fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…