Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
wewe ni mpumbavu kama viongoz wenu wauza bandari.Sijafikia kiwango Cha upumbavu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni mpumbavu kama viongoz wenu wauza bandari.Sijafikia kiwango Cha upumbavu wako
achana na huyo mpumbavu wa makuwadi ya warabu ya dpworld.Hawawezi kusikilizwa. Mfano ni ishu ya mkataba wa Bandari, CHADEMA wanapendekeza upitiwe upya, CCM na Serikali wanazunguka mikoani kusema kwamba ni mzuri na utatunufaisha. Kama wapinzani wanapendekeza lakini serikali inaongea tofauti na kinachopendekezwa, utaendelea kupendekeza?
Uko sahihi kwa CDM kukosa ofisi, hata hivyo CCM hawana lolote la kujisifia maana wanamiliki majengo ya urithi. Pale mwenye nyumba ya urithi anapomkeli asiye na nyumba.CHADEMA ni wahuni tu wanafurahisha watu wenye stress zao. Watu wameshindwa kujenga hata kaofisi yao wamepanga nyumba ambayo hata mtu anayejipenda hawezi kupangisha. Ile nyumba ni aibu kuiita makao makuu ya CHADEMA. Hakuna kitu pale wale ni wehu flani tu wanaotafuta namna ya kupata mlo wao. hATA WAO WANAJUA HAWATAKAA WASHIKE DOLA.
nenda kwa makuwadi wenzio wa dpworld mkapambanie kula hela za kuhongwa kwa kuuza bandari.Ukweli upi Sasa hapo analeta mipasho ya kusadikika
Chadema hawaelewi maana ya upinzani ni niniKwahiyo ACT ni chsma cha kushauri watawala, washauri wa rais wafanye kazi gani sasa
hoja ya kuuza bandar kwa dpworld.Jikite kwenye hoja acha kuleta upuuzi
Ndiohoja ya kuuza bandar kwa dpworld.
ukiona zitto kabwe kachangia mada yoyote yenye kukosoa serikali , jua kuwa hiyo kitu imejadiliwa na zitto na TISS , jua ni sehemu ya spinning ya ccm, zitto hawawezi kumchafua MAKAMBA
Na mtakoma mamaeee naona sindano za uso za Chadema zimeingia uzuri mpka mnawapangia sasa cha kushauri.Heri kuongozwa na waarabu wa Dubai
Hiyo nayo si miisiramu tu. petololi watatuletea wazungu.Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?
CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂
Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.
In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.
The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually. The Citizen
My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.
CHADEMA kukesha majukwaani kuwasimulia wanananchi Changamoto bila kuwa na mpango kazi wa majibu ni dharau kwa Raia
CHADEMA kutwa kucha wanazunguka huko na huko na kufanya mikutano ya hadhara waliyobatiza Majina ya oparesheni okoa Bandari nk. Ila Sasa cha kushangaza kwenye hiyo mikutano Yao wanachofanya ni -Kusema ccm imeshindwa -Kutukana viongozi waliopo, wafu na Watumishi wa Umma -Kusimulia mifano ya Nchi...www.jamiiforums.com
Sawa nakubaliana na wewe lakini kwa starting moja ambalo ni la kunionyesha kipengele cha majukumu ya chama cha upinzani dhidi ya serikali.Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?
CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂
Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.
In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.
The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually. The Citizen
My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.
CHADEMA kukesha majukwaani kuwasimulia wanananchi Changamoto bila kuwa na mpango kazi wa majibu ni dharau kwa Raia
CHADEMA kutwa kucha wanazunguka huko na huko na kufanya mikutano ya hadhara waliyobatiza Majina ya oparesheni okoa Bandari nk. Ila Sasa cha kushangaza kwenye hiyo mikutano Yao wanachofanya ni -Kusema ccm imeshindwa -Kutukana viongozi waliopo, wafu na Watumishi wa Umma -Kusimulia mifano ya Nchi...www.jamiiforums.com
Kwa hiyo ACT ni wapinzani wazuri?.Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?
CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.
Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂
Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.
In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.
The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually. The Citizen
My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.
CHADEMA kukesha majukwaani kuwasimulia wanananchi Changamoto bila kuwa na mpango kazi wa majibu ni dharau kwa Raia
CHADEMA kutwa kucha wanazunguka huko na huko na kufanya mikutano ya hadhara waliyobatiza Majina ya oparesheni okoa Bandari nk. Ila Sasa cha kushangaza kwenye hiyo mikutano Yao wanachofanya ni -Kusema ccm imeshindwa -Kutukana viongozi waliopo, wafu na Watumishi wa Umma -Kusimulia mifano ya Nchi...www.jamiiforums.com
Kumbe shida ni udini 😂😂Hiyo nayo si miisiramu tu. petololi watatuletea wazungu.
Nyiny waisiramu ndio mipepo yenyewe, mipesa yote miisiramu, sasa na banadali zote za tanzania ziwe za miisiramu? hatutaki.Kumbe shida ni udini 😂😂
Upunguani wenu wa kushinda kanisani inafaida gani Kwa Nchi? Yaani wewe kukemea mapepo Mimi najufaikaje?
Anao ushahidiUkweli upi Sasa hapo analeta mipasho ya kusadikika
Ukiona chama Cha upinzani kinasifiwa na CCM shtuka haraka.Chadema hawaelewi maana ya upinzani ni nini
Upinzani ni kuwa na mawazo mbadala ya ku solve issue ile yenye changamoto
Chadema hawana mawazo mbadala wao ni kusubiri CCM ichemke wao wapinge wajinga sana
Ndio.maans hawana sera zao zinazoeleweka kwa wananchi
Chadema kukiita chama cha upinzani sio sahihi.ACT ni sahihi sababu kinakuwa na mawazo mbadala ya nini cha kufanya kupata solution ya kutatua tatizo kuliko.mawazo ya chama tawala
CCM wanaitambua Chadema kama wapinzani halisi....Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?