jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Mar 2, 2023 #181 dos.2020 said: ni rahisi kuvunja muungano kuliko kwenda Serekali Moja, Fahamu hilo. Click to expand... Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu.
dos.2020 said: ni rahisi kuvunja muungano kuliko kwenda Serekali Moja, Fahamu hilo. Click to expand... Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Mar 2, 2023 #182 jiwe angavu said: Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu. Click to expand... Una khulka za kidikteta ndani ya Damu yako, Halafu mda mwengine eti nawewe unalalamika.
jiwe angavu said: Hakuna linaloshindikana,sema ccm inalea ujinga tu. Click to expand... Una khulka za kidikteta ndani ya Damu yako, Halafu mda mwengine eti nawewe unalalamika.
K Kayumbo Mohamed Kabutali Member Joined Feb 3, 2023 Posts 55 Reaction score 27 Mar 3, 2023 #183 Naungana nanyi lakini ili mpate mamlaka kamili ni muhimu sana nanyi kuunga mkono ukombozi wa taifa la tanganyika huru kutoka mikononi mwa wezi ccm - chaumma
Naungana nanyi lakini ili mpate mamlaka kamili ni muhimu sana nanyi kuunga mkono ukombozi wa taifa la tanganyika huru kutoka mikononi mwa wezi ccm - chaumma
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Mar 3, 2023 #184 dos.2020 said: Una khulka za kidikteta ndani ya Damu yako, Halafu mda mwengine eti nawewe unalalamika. Click to expand... Sijawahi kulalamika,ila na hoji imeshindikana nini ccm kuweka serikali moja zaidi ya kulea huu upuuzi unaoendelea.
dos.2020 said: Una khulka za kidikteta ndani ya Damu yako, Halafu mda mwengine eti nawewe unalalamika. Click to expand... Sijawahi kulalamika,ila na hoji imeshindikana nini ccm kuweka serikali moja zaidi ya kulea huu upuuzi unaoendelea.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Mar 3, 2023 #185 jiwe angavu said: Sijawahi kulalamika,ila na hoji imeshindikana nini ccm kuweka serikali moja zaidi ya kulea huu upuuzi unaoendelea. Click to expand... Nawewe eti unajiita uanataka haki. Hebu Msikilize lisu maoni yake. Attachments Voice 001.m4a Voice 001.m4a 6.2 MB · Views: 1
jiwe angavu said: Sijawahi kulalamika,ila na hoji imeshindikana nini ccm kuweka serikali moja zaidi ya kulea huu upuuzi unaoendelea. Click to expand... Nawewe eti unajiita uanataka haki. Hebu Msikilize lisu maoni yake.