ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar
Wizi wa jutisha wa kura huko Zanzibar
Mashitaka ICC hayana tena nguvu
ACT imewatupa wananchi wa Zanzibar chini ya basi
ACT wamekosa msimamo thabiti wameenda kukaa na madhalimu katika meza ya ulaji.

Hakuna chama tena hapo ni chama maslahi.

Zitto Pole sana, hamna credibility tena ya kuzungumzia uchaguzi huru na haki kwa sababu mko radhi kula matunda ya uchaguzi usiyo wa haki.

Kiufupi ACT haina ajenda kuelekea 2025
Nawaomba Chadema wasigeuke jiwe, wakaze tutawaheshimu zaidi, na Chadema itaimarika zaidi.

Ni kuhadaa umma kudai eti ACT imesikiiza maoni ya wanachama wake, kiufupi ni kuwa akina maalim walikuwa wanataka kusikia wanachotaka kuambiwa maana wangekuwa na msimamo wasingeuliza kama nao wakale kilicho haramu au la!

Leo ACT kwangu mimi imekuwa CCM B
 
Si hasa huwa inasimamishwa vichwani mwa viongozi wa kisiasa. Lakini si hasa kwa raia huendelea tuu, kwa kuwa siasa ni maisha ya kila siku ya mwanadamu.

Ama Kabwe asishiriki siasa au la, wananchi wa Zanzibar watakuwa wanaiishi hali hiyo ya siasa.

Hata Chadema, waliosimama siasa ni viongozi, wananchi na wanachama tutaiishi siasa. Pelekeni viongozi washirikiane kutafuta majawabu ya shida za kiuchumi na kijamii za Watanzania.
 
Back
Top Bottom