stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
ACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar
Wizi wa jutisha wa kura huko Zanzibar
Mashitaka ICC hayana tena nguvu....
jiandae kisaikolojia kijana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar
Wizi wa jutisha wa kura huko Zanzibar
Mashitaka ICC hayana tena nguvu....
Hawa wapinzani nimeamini hawama principles, ni watu wa kupelekwapelekwa na njaa.
Wakiminywa kidogo njaa ikawauma, wanajipeleka wenyewe kama wasenge
Kamanda tulia unyooshwe
Wewe unamkomalia Zitto wakati CHADEMA imekufa! Ungeonyesha busara kushauri namna gani chama chenu kianze moja kutafuta imani kwa wananchi. Na sidhani kama kitapata nguvu kama kipindi Dk Slaa ni Katibu mkuu.Zitto anaendelea na tabia zake za opportunist, chance yoyote itayotokea mbele yake anaitumia tu...
Weekend inaisha ikiwa tamu zaidiMissile AKILI nyingi vipi tena?!!🤣🤣
Yaani kwa uwezo wako mkubwa wa kufikiri...hilo la UPINZANI legelege ndio UNALIONA LEO ?!!
🤣Masikini Tundu, kakataliwa tena, mikosi imemuandama balaa duh, ...
Ok naona Act wameamua kufanya ujinga wa karne kushiriki serikali iliyojaa damu , bila kujali madhira ya waliouwawa , pigwa , teswa , fungwa , bambikiwa kesi na 2025 watashiriki uchaguzi mkuu bila tume huru na katiba mpya . Chadema msifuate huu ujinga . Nimeamini leo kuwa Maalim Seif Ni afisa kipeuo , ndio maana aliiba na nyaraka za Abdul Jumbe akampelekea mzee Nyerere . Wananchi wasimuamini Tena yeye na Act na Chadema wakifanya hivyo tusiwaamini tena , njaa mbaya sana ndio maana Pascal Njaa kaamua kujitoa ufahamu .
🤣🤣weekend inaisha ikiwa tam zaidi
Mtakuja kukumbuka shuka asubuhiiiHawa wapinzani nimeamini hawama principles, ni watu wa kupelekwapelekwa na njaa.
Wakiminywa kidogo njaa ikawauma, wanajipeleka wenyewe kama wasenge
Zitto anaendelea na tabia zake za opportunist, chance yoyote itayotokea mbele yake anaitumia tu.
Alijaribu karata ya Membe ikagoma, sasa kaona aje na hii mpya, sidhani kama hii ni njia nzuri ya kukijenga chama chake.
Vyema sasa azunguke huko mikoani kukitangaza chama chake, hii tabia ya kusubiri matukio yakitangaze chama itamchelewesha kama sio kumpoteza kabisa.
Sure!Kwenye siasa lolote linaweza kutokea,ni vema kutokuweka matumaini ya 100% kwa yale unayotarajia ama kuyapenda.
Ok naona Act wameamua kufanya ujinga wa karne kushiriki serikali iliyojaa damu , bila kujali madhira ya waliouwawa , pigwa , teswa , fungwa , bambikiwa kesi na 2025 watashiriki uchaguzi mkuu bila tume huru na katiba mpya . Chadema msifuate huu ujinga . Nimeamini leo kuwa Maalim Seif Ni afisa kipeuo , ndio maana aliiba na nyaraka za Abdul Jumbe akampelekea mzee Nyerere . Wananchi wasimuamini Tena yeye na Act na Chadema wakifanya hivyo tusiwaamini tena , njaa mbaya sana ndio maana Pascal Njaa kaamua kujitoa ufahamu .
ACT-WAZALENDO NI OPPORTUNISTIC INFECTIONS, SASA TUWASIKIE MNALALAMIKA KUWA MLIIBIWA KURA, UCHAGUZI HAKUWA WA HAKI ETC.ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu...
Chadema iwe makini na ACT...Wameweka mbele njaa kuliko principle
Wao ndiyo waliotutangazia jinsi kura zilivyoibiwa huko Zenji..
Kanunue gazeti la jero ujipepeleeOk naona ACT wameamua kufanya ujinga wa karne kushiriki serikali iliyojaa damu bila kujali madhila ya waliouawa, pigwa, teswa ,fungwa, bambikiwa kesi na 2025 watashiriki uchaguzi mkuu bila tume huru na katiba mpya. CHADEMA msifuate huu ujinga...
Nkikuonya sana mkuu kwamba utaushi kwa stress sana kuwashabikia wana siasa.ACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar
Wizi wa jutisha wa kura huko Zanzibar.....
ACT kwa mtazamo wangu na maoni yangu ni kwamba.ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu....