ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Nini tena..!! Mbona unataka kufarakanisha vyama pekee makini vya upinzani ambavyo ni rafiki? Leo hutaki tena kusikia ile "phrase" ya "CHADEMA na ACT"?
Ebu nambie msigi wa ACT kwenda kufanya kazi na Mwinyi? Unaweza ukamwamini mshirika kama huyo?
 
....Umenikosha...

.....UMEMALIZA...hapo kwa mh.Tundu Lissu kuitumia FORUM ya kimataifa kutunufaisha....

Kudos!!
 
👍👍👍👍
 
It was a matter of time. File lifungwe kila mtu akaendelee kujitafutia mkate wake wa kila siku

Hii ni logical decision. Miaka mitano nje imewapa a new perspective. Bora nusu shari kuliko shari nzimanzima
 
Kamati kuu ya ACT wazalendo kwa pamoja ndio waliokuja na azimio hilo la kushiriki SUK, unapata wapi nguvu ya kumshambulia maalim seif na wengine, bora uje na hoja ya kukitusi chama cha ACT
 
Shariff ndiye anajua kucheza na wakati, muda na umri umemtupa mkono. Nafuu amalizie usitafu akiwa makamo wa Kwanza wa Rais.
2025 anastaafu siasa,
ACT itakuwa imekufa na kurudi kwao Tanganyika.
Sio suala la ACT kufa,bali ni kunata na beat,,hata wafadhili wazungu walisema pawepo mazungumzo na mskubaliano,,na ndio hayo sasa,,
Au mlidhani pataitishwa uchaguzi mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…