ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Nini tena..!! Mbona unataka kufarakanisha vyama pekee makini vya upinzani ambavyo ni rafiki? Leo hutaki tena kusikia ile "phrase" ya "CHADEMA na ACT"?
Ebu nambie msigi wa ACT kwenda kufanya kazi na Mwinyi? Unaweza ukamwamini mshirika kama huyo?
 
Mkuu
Raisi ni JPM, chama kinachotawala ni CCM hiyo inatosha. Huu si muda wa kusherekea ushindi. Kama ni lazima kupongeza, basi wa kupongezwa kwa sasa ni ACT kwa kukubali ushirikiano. USIWANANGE CHADEMA, Endelea kuwahisi wakubaliane na hali na wawe sehemu ya TZ hata kama hawana nafasi za uongozi. Huu ni muda wa Kuinua sekta binafsi, kuinua utalii, kuleta mshikamano na kuifurahia nchi yetu regardless ya yaliyotokea.

MWAMBIENI TL AACHANE NA ICC, AMWAMBIE WAKILI AJE AWEKEZE TANZANIA TUTAMPOKEA. ZILE CONNECTION ALIZO NAZO ZA WAZUNGU AZITUMIE VIZURI KUINUFAISHA TZ KIUWEKEZAJI.
....Umenikosha...

.....UMEMALIZA...hapo kwa mh.Tundu Lissu kuitumia FORUM ya kimataifa kutunufaisha....

Kudos!!
 
Mkuu
Raisi ni JPM, chama kinachotawala ni CCM hiyo inatosha. Huu si muda wa kusherekea ushindi. Kama ni lazima kupongeza, basi wa kupongezwa kwa sasa ni ACT kwa kukubali ushirikiano. USIWANANGE CHADEMA, Endelea kuwahisi wakubaliane na hali na wawe sehemu ya TZ hata kama hawana nafasi za uongozi. Huu ni muda wa Kuinua sekta binafsi, kuinua utalii, kuleta mshikamano na kuifurahia nchi yetu regardless ya yaliyotokea.

MWAMBIENI TL AACHANE NA ICC, AMWAMBIE WAKILI AJE AWEKEZE TANZANIA TUTAMPOKEA. ZILE CONNECTION ALIZO NAZO ZA WAZUNGU AZITUMIE VIZURI KUINUFAISHA TZ KIUWEKEZAJI.
👍👍👍👍
 
1456109.jpg
 
It was a matter of time. File lifungwe kila mtu akaendelee kujitafutia mkate wake wa kila siku

Hii ni logical decision. Miaka mitano nje imewapa a new perspective. Bora nusu shari kuliko shari nzimanzima
 
Ismail Jussa ameumizwa, Mazrui alitekwa mara mbili, baadhi ya viongozi na wananchi wamekufa na kujeruhiwa kutokana na huu uchaguzi haramu halafu eti mnaungana na watesi wenu kwa ajili ya maslai ya watu wachache! Maalim Seif, wewe mwenyewe ulisimamishwa kufanya kampeni kwa siku 5. ACT mmeshakuwa mamluki hampo kwa ajili ya wazanzibari na watanzania bara.
Kamati kuu ya ACT wazalendo kwa pamoja ndio waliokuja na azimio hilo la kushiriki SUK, unapata wapi nguvu ya kumshambulia maalim seif na wengine, bora uje na hoja ya kukitusi chama cha ACT
 
Shariff ndiye anajua kucheza na wakati, muda na umri umemtupa mkono. Nafuu amalizie usitafu akiwa makamo wa Kwanza wa Rais.
2025 anastaafu siasa,
ACT itakuwa imekufa na kurudi kwao Tanganyika.
Sio suala la ACT kufa,bali ni kunata na beat,,hata wafadhili wazungu walisema pawepo mazungumzo na mskubaliano,,na ndio hayo sasa,,
Au mlidhani pataitishwa uchaguzi mpya?
 
Back
Top Bottom