Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Nini tena..!! Mbona unataka kufarakanisha vyama pekee makini vya upinzani ambavyo ni rafiki? Leo hutaki tena kusikia ile "phrase" ya "CHADEMA na ACT"?CDM iwe makini na ACT...
Zitto anaendelea na tabia zake za opportunist, chance yoyote itayotokea mbele yake anaitumia tu...
Ebu nambie msigi wa ACT kwenda kufanya kazi na Mwinyi? Unaweza ukamwamini mshirika kama huyo?Nini tena..!! Mbona unataka kufarakanisha vyama pekee makini vya upinzani ambavyo ni rafiki? Leo hutaki tena kusikia ile "phrase" ya "CHADEMA na ACT"?
....Umenikosha...Mkuu
Raisi ni JPM, chama kinachotawala ni CCM hiyo inatosha. Huu si muda wa kusherekea ushindi. Kama ni lazima kupongeza, basi wa kupongezwa kwa sasa ni ACT kwa kukubali ushirikiano. USIWANANGE CHADEMA, Endelea kuwahisi wakubaliane na hali na wawe sehemu ya TZ hata kama hawana nafasi za uongozi. Huu ni muda wa Kuinua sekta binafsi, kuinua utalii, kuleta mshikamano na kuifurahia nchi yetu regardless ya yaliyotokea.
MWAMBIENI TL AACHANE NA ICC, AMWAMBIE WAKILI AJE AWEKEZE TANZANIA TUTAMPOKEA. ZILE CONNECTION ALIZO NAZO ZA WAZUNGU AZITUMIE VIZURI KUINUFAISHA TZ KIUWEKEZAJI.
👍👍👍👍Mkuu

kweli mzee babaAcha siasa za BONGO Njaa tupu.
Nani mwingine zaidi ya Maalim Seif Sharif Hamad?😊Wanajiunga.
ACT watakaa kupendekeza jina moja atakae kuwa makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar.
Amewamaliza ChademaKwa hili Zitto kawazidi maarifa wamiliki wa sakosi.
🤣🤣Nini tena..!! Mbona unataka kufarakanisha vyama pekee makini vya upinzani ambavyo ni rafiki? Leo hutaki tena kusikia ile "phrase" ya "CHADEMA na ACT"?
Kamati kuu ya ACT wazalendo kwa pamoja ndio waliokuja na azimio hilo la kushiriki SUK, unapata wapi nguvu ya kumshambulia maalim seif na wengine, bora uje na hoja ya kukitusi chama cha ACTIsmail Jussa ameumizwa, Mazrui alitekwa mara mbili, baadhi ya viongozi na wananchi wamekufa na kujeruhiwa kutokana na huu uchaguzi haramu halafu eti mnaungana na watesi wenu kwa ajili ya maslai ya watu wachache! Maalim Seif, wewe mwenyewe ulisimamishwa kufanya kampeni kwa siku 5. ACT mmeshakuwa mamluki hampo kwa ajili ya wazanzibari na watanzania bara.
Njaa haina shujaaHakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Sio suala la ACT kufa,bali ni kunata na beat,,hata wafadhili wazungu walisema pawepo mazungumzo na mskubaliano,,na ndio hayo sasa,,Shariff ndiye anajua kucheza na wakati, muda na umri umemtupa mkono. Nafuu amalizie usitafu akiwa makamo wa Kwanza wa Rais.
2025 anastaafu siasa,
ACT itakuwa imekufa na kurudi kwao Tanganyika.