Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HAWA KAMA WAMEKUBALI KUSHIRIKI KUUNDA SEREKALI THATS MEANS WAMESHA WAMEHALALISHA UCHAGUZI NA NI KIBALI KIBALI CHA WAZI SASA KWA COVID 19 KUINGIA KAZINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashiru alisema anataka dakika 5 tu kuisambaratisha ACT vipande vipande!Amewamaliza Chadema
HAWA KAMA WAMEKUBALI KUSHIRIKI KUUNDA SEREKALI THATS MEANS WAMESHA WAMEHALALISHA UCHAGUZI NA NI KIBALI KIBALI CHA WAZI SASA KWA COVID 19 KUINGIA KAZINI
Wamekubali kujiungaMbona sioni conclusion, mnajiunga na serikali ya umoja au mnasubiri uchaguzi ujao 2025?
Maendeleo hayana chama! Ahahahahahahah!!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Kila la kheri kwa ACT, sote ni wajenzi wa nyumba moja haina haja ya kunyanganyana fito, bado CHADEMA kule wanapambana na wanawake wao
Mkuu kwako wewe vurugu na mauaji ni furaha, unadhani hoja ya ICC ni tishio kwa utawala huu ulio imara kuliko hapo swali?
Wanajiunga mara moja na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Uchaguzi umekwisha, matokeo yalishatoka pamoja tujenge Nchi yetu!Mbona sioni conclusion, mnajiunga na serikali ya umoja au mnasubiri uchaguzi ujao 2025?
ACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar
Wizi wa jutisha wa kura huko Zanzibar
Mashitaka ICC hayana tena nguvu
ACT imewatupa wananchi wa Zanzibar chini ya basi
ACT wamekosa msimamo thabiti wameenda kukaa na madhalimu katika meza ya ulaji.
Hakuna chama tena hapo ni chama maslahi.
Zitto Pole sana, hamna credibility tena ya kuzungumzia uchaguzi huru na haki kwa sababu mko radhi kula matunda ya uchaguzi usiyo wa haki.
Kiufupi ACT haina ajenda kuelekea 2025
Nawaomba Chadema wasigeuke jiwe, wakaze tutawaheshimu zaidi, na Chadema itaimarika zaidi.
Ni kuhadaa umma kudai eti ACT imesikiiza maoni ya wanachama wake, kiufupi ni kuwa akina maalim walikuwa wanataka kusikia wanachotaka kuambiwa maana wangekuwa na msimamo wasingeuliza kama nao wakale kilicho haramu au la!
Leo ACT kwangu mimi imekuwa CCM B
Kwa faida ya haki. Labda kwa huko Znz, lakini kwa huku Bara, ACT wasahau kabisa support ya wananchi.Mlitaka akatae kwa faida ya nani?
!!!!!Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Ni sawa.Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!