ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Hongera ACT Wazalendo, mmeonyesha uzalendo wenu! Uchaguzi umekwisha, matokeo yalishatangazwa, pamoja tujenge Nchi yetu!
 
Nikapewa zile karatasi....
Nikajongea katika KITUTURU..kalamu mkononi...

Enzi KANU inatamba CCM huko Kenya, wapambe wake walikuwa wanasema KANU ndio chama pekee kinaweza kuiongoza Kenya. Leo hii KANU imeondolewa madarakani, na Kenya ni bora kiuchumi, kielimu, kibiashara, kiafya nk, kuliko Tanzania ambayo haijawahi kutawaliwa na chama nje ya ccm.
 
Chadema nao wakae na JPM kisha wakubali kumsaidia kurudisha uhusiano wa kimataifa, TL ampe maelekezo Wakili asitishe mambo ya AICC na kumtakia kila la heri JPM, JPM atumie nafasi hii kurudisha umoja wa kitaifa na ushirikiano baina yake na wapinzani. TL awe wakala wa kuwaleta wafadhili,watalii,wawekezaji nchini akiwa huko nje, JPM aboreshe Sera ya uwekezaji na awasaidie sekta binafsi kukuza mitaji na kuinuka tena. Baada ya miaka 5 TL arudi kugombea nafasi ya uraisi. Hata Akishindwa, Tanzania itaheshimika sana.

PESA ZA WAZUNGU NA MISAADA YAO BADO TUNAITAKA SANA TU. ILA ILI WASITUUMIZE INATUPASA KUSHIKAMANA NA TUSINYANYASANE.

Tundu Lisu akifuata huu ushauri wako mfu, na yeye tutamdharau kama tunavyowadharau wasaka mlo wengine.
 
"Only stupid people don't change their minds"..Boutros Boutros-Ghali,Secretary-General of the United Nations from January 1992 to December 1996😷😷😷
 
Matangazo ya moja kwa moja

Tunawapongeza kwa kufanya Uamuzi wa hekima

Sote ni Ndugu na tunajenga nyumba moja

Sasa ni Wakati wa kuchapa Kazi kwa Wazanzibar na Watanzania wote
QCT washamaliza mchezo wote.
Kula tuu cheo hapo hawawrzi kuponga tena uchaguzi
 
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!...

Siasa za kweli ni wananchi kuuwawa, kudhalilishwa, kuachwa na vilema, kisha viongozi wakapate ulaji kwa damu za wananchi!? Sasa wasubiri kama wataona tena watu wakijitokeza kuwapigia kura ili kupata huo ulaji kwa gharama ya damu zao.
 
Membe alikuwepo? Mshauri wenu. Yaani mlikosea sana kumpokea Membe.
Membe alishasepa zake.


IMG-20201205-WA0025.jpeg
 
Maamuzi ya chama yaheshimiwe na kila mtu kwa kuwa ni ya kikatiba. Hata maamuzi ya Chadema kutokushiriki bunge la JMT ni sahihi pia. Ndugai na wenzake wasishurutishe.

Uko sahihi sana, lakini hayo maamuzi yatawagharimu sana. Muda ni mwalimu mzuri.
 
Watapiga kura wengine. Kwani hata mwaka huu umepiga kura? Acha kuwasemea watz mkuu!

Kura nilipiga, ila kwa nilichokiona nasikitika kwanini nilipoteza muda wangu kushiriki ule ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Subiri mrejesho wa idadi ya wapiga kura uchaguzi mwingine wowote.
 
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu...
Siasa waachieni wanasiasa mkiziingilia mwaweza kufa huku mkiacha watu wanatafuna bata, toeni mfano kwa hili, znbr wamekufa watu kibao kisa siasa mwisho wa siku wanasiasa wanaungana kula bata kwa pamoja.
 
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu....
Kama kawaida yenu vibaraka wa CCM mnaendeleza usaliti kwa wapiga kura wenu.
 
Ila Kama ACT mnaamini Maarif Seif ni mpinzani kwa CCM mnapoteza muda muulizeni alifata nn ikulu ya Tanganyika kuongea nn na Magufuri.
Maalim yeye anapambana na umri wake na hivyo hawezi kubali kuwachia nafasi ya makamu wa rais
 
Back
Top Bottom