Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Hongera ACT Wazalendo, mmeonyesha uzalendo wenu! Uchaguzi umekwisha, matokeo yalishatangazwa, pamoja tujenge Nchi yetu!Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P